Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 85)
FEATURE
on May 25, 2024
215 views 3 mins

Na Happiness Shayo DODOMA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Namibia zimekubaliana kubadilishana uzoefu katika Sekta ya Maliasili na Utalii hasa katika kukabiliana na changamoto za Wanyamapori wakali na waharibifu hususan tembo wanaovamia makazi ya wananchi. Hayo yamejiri leo Mei 24,2024 wakati wa kikao cha pamoja kati ya Waziri wa Maliasili […]

FEATURE
on May 24, 2024
253 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Kamishna wa Bima  Dkt.Baghayo Saqware amewataka wamiliki wa gereji za kutengeneza magari, kujisajili katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA)  ili kuepusha changamoto ikiwemo  udanganyifu, ucheleweshwaji wa malipo na huduma mbovu kwa wateja wao ambapo TIRA inawajibika kusimamia haki za pande zote mbili.  Dkt.Baghayo ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati […]

FEATURE
on May 24, 2024
315 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa Amewataka watanzania kujitokeza Kwa wingi kupanda treni ya Mwendokasi hasa wale wa Daraja la Tatu,ambayo Treni hiyo imeangaziwa vigezo vyote vya nauli Hayo ameyasema Leo Tarehe 24 Mei 2024 wakati wa ziara yake aliyoifanya Jijini Dar es salaam Waziri wa Uchukuzi Prof […]

FEATURE
on May 24, 2024
147 views 34 secs

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mkutano wa Afya Duniani (WHA77),ulioandaliwa na Amref Health Africa kwa ushirikiano na Afrika CDC, Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani na Bill na Melinda Gates Foundation. Katika mkutano huo,ulijadiliwa maswala muhimu ya afya ya umma ikiwa ni pamoja na kujiandaa na kukabiliana na janga […]

FEATURE
on May 24, 2024
143 views 5 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru  uongozi wa Shirikisho la Soka Afrika(CAF)  kwa kuifanya Zanzibar kuwa mmoja ya waandaaji wa Mashindano ya African Football Championship  mwaka huu. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipokutana na Rais wa Shirikisho la  Soka barani Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe  […]

FEATURE
on May 23, 2024
376 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuanza kwa Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal na ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Bahari Beach Jijini Tanga, kuanzia tarehe 25 hadi 31 Mei, 2024. Akizungumza na Waandishi wa Habari […]

FEATURE
on May 23, 2024
183 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Ikiwa ni mwanzo wa ziara yake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda aliyoipa jina la *SIKU 6 ZA MOTO ARUSHA* , Ametembelea katika Zahanati ya kijiji cha Leremeta Wilayani Longido ambapo akiwa hapo amepokea malalamiko kutoka kwa Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Leremeta Bw. Supuk Melita na […]

FEATURE
on May 23, 2024
264 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda ametembelea na kukagua utoaji huduma katika zahanati ya kijiji cha Leremeta ambapo amehoji kuhusu umeme unaopatikana katika zahanati ili kujua unawezesha mitambo yote kufanya kazi ipasavyo. Katika majibu yake, uongozi wa zahanati hiyo umesema kuwa umeme hauridhishi kwakuwa ni single phase na […]

FEATURE
on May 23, 2024
191 views 46 secs

Na Mwandishi wetu ZANZIBAR WAMACHINGA Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Bi. Safia Iddi Muhammad amefanya uteuzi wa  wagombea kutoka vyama 14 vya siasa kuwania nafasi ya Ubunge katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 8 Juni, 2024. Ameyasema hayo Leo Tarehe 23 Mei 2024 Msimamizi wa uchaguzi […]