Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA -Mamia ya Wananchi wa Jimbo la Ukonga wafurika kutoa kero zao -Akemea vikali tabia za baadhi ya viongozi kujipatia fedha kwa kuwatapeli watu wa kipato cha chini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 28,2024 akiwa katika Mkutano wa hadhara Jimbo la Ukonga […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA y Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu kazi vijana, ajira na wenye ulemavu, Deogratius Ndejembi ametoa rai kwa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania TUCTA kuweka mipango madhubuti ya kuwafikia na kuwapa elimu wafanyakazi wanaofanya kazi katika sekta isiyo rasmi waone umuhimu wa kujiunga katika vyama vya wafanyakazi ili wapate […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Amesema mkoa wa Dar es salaam umeharibika Kwa miundombinu ya mvua nyingi ambazo zilizoweza kunyesha na kuathiri Kwa ujumla miundombinu ya nchi Ameyasema hayo Leo Tarehe 28 Mei 2024 Katika viwanja vya ndege Terminal 1 Ambapo Mkuu wa mkoa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amesema mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu ya Tanzania yanayofanywa na Serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan yataweka msingi imara wa mabadiliko yatakayowasaidia vijana wa Kitanzania kushindana […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Uvuvi barani Afrika (AFRICA SMALL SCALE FISHERIES SUMIT 2024) ambao utafanyika Julai 5-7 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unalengo la kuimarisha umoja wa Afrika […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema umuhimu wa kujadili matokeo ya Kikundi Kazi kuhusu marekebisho ya Kanuni za Afya za Kimataifa (2005) na hatua iliyofikiwa na Bodi ya Majadiliano ya Serikali (INB) katika kuandaa na kujadili mkataba au makubaliano ya WHO […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwanasiasa mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa. Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, leo Jumamosi, Mei 25, 2024. Balozi Nchimbi alikwenda nyumbani kwa Mzee Songambele Mwananyamala jijini Dar es Salaam kumfikishia […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saadi Mtambule amewataka wananchi wa Wilaya ya Kinondoni hususani Kata za Kawe, Kunduchi, Wazo na Mbezi Beach kujitokeza kunufaika na fursa ya kuunganishwa bure kwenye huduma ya uondoshaji majitaka kupitia utekelezwaji wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na […]