Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wakazi wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilika na kuanza kutumika kwa kituo cha Kupoza umeme cha Ifakara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamesema kuwa, zamani walikuwa na […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Msanii wa Filamu Nchini, Steven Mengere ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu kwa kutambua Tasnia ya Filamu na kuja na ahadi ya kuwapeleka wasanii na waigizaji nchi za nje kwa ajili ya kujifunza Sanaa katika nyanja mbalimbali. Akizungumza katika Mkutano uliofanyika […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi itakayofanyika Jamhuri ya Korea tarehe 30 Mei hadi tarehe 06 Juni 2024. Katika ziara hiyo, Rais Samia anatarajia kufanya mambo makuu mawili ambapo Tarehe 2 Juni 2024 atakutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA Jitahidi za Serikali za kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi baina ya Hifadhi na wananchi zinaendelea kuzaa matunda baada ya kutatua mgogoro uliodumu zaidi ya miaka 20 baina ya Pori la Akiba Liparamba lililopo Mkoani Ruvuma na vijiji vitano vinavyozunguka hifadhi hiyo. Hayo yamebainika Mei 28, 2024 katika ziara ya kuelezea […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa mkoa wa mkuu wa Dar es salaam ALBERT CHALAMILA amemtaka kufanyika kwa tathmini ya zaidi ya shilingi billion 5 Ambazo zimetolewa katika ujenzi wa kutoa cha afya. Cha mchikichini kilichopo ILALA kutokana na kutoridhishwa ujenzi wa miradi huo Agizo hilo Amelitoa katika ziara maalumu ya kukagua […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ALBERT CHALAMILA ameziagiza mamlaka za Usimamizi wa maji safi DAWASA, DART pamoja na TARURA kuboresha miundombinu ya maji taka pamoja na ujenzi ujenzi wa barabara katika mtaa wa lindi kata ya gerezani wilaya ilala jijini Dar es salaam Ameyasema hayo Leo […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Atoa agizo kwa wale ambao walionganisha mfumo wa Maji taka kwenye mifumo ya maji safi PSSSF na Balozi wa Canada wakabomoe wenyewe ndani ya wiki Moja Ameyasema hayo Leo Tarehe 29 Mei 2024 Mkuu wa mkoa wa Dar es […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk Samia Suluhu Hassan leo kupitia Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amekipatia chama wilaya ya Manyoni zaidi ya shilingi millioni 18 kwa ajili ya kuezeka jengo lake la kitega uchumi. Katibu Mkuu wa CCM alitangaza hayo mbele ya Kamati […]