Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Amesema Wizara yake imepokea maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi dkt Emanuell Nchimbi kuhusu suala la boom kwa wanafunzi wa vyuo nchini. Dr Nchimbi akiwa eneo la Usa River Wilaya ya Arumeru alitoa maagizo kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhakikisha wanafunzi wa vyuo wanalipwa fedha hizo ifikapo mwisho […]
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa Tarime Group, lenye wanachama 200, eneo la Makuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Balozi Nchimbi amewasili na kupokelewa Arusha leo Jumapili, Juni 2, 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara […]
Na Happiness Shayo Wawakilishi 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania huku wakisifia namna ambavyo hifadhi za Taifa zimesheheni wanyamapori. Hayo yamesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Wabunge hao kilichofanyika katika Uwanja wa Ndege wa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 *Kuimarisha upatikanaji umeme Kilombero, Ulanga na Malinyi* 📌 *Kuchochea viwanda vya uongezaji thamani Mazao, Madini* 📌 *Asema Serikali inachukulia kwa uzito mkubwa suala la upatikanaji wa Nishati* 📌 *Asisitiza Umeme si anasa, ni jambo la lazima* 📌 *Aishukuru EU kuunga mkono miradi ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]
Na Beatus Maganja BUNGENI DODOMA Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Jasmin Kairuki (Mb) amesema katika kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii, Wizara yake imefanikiwa kuanza utekelezaji wa Uwekezaji Mahiri kwenye Maeneo ya Wanyamapori (Special Wildlife Investment Concession Areas – SWICA) ambapo jumla ya Dola za Marekani 2,773,000 sawa na Shillingi bilioni 7.1 […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba kuidhinishiwa Bajeti ya jumla ya Shilingi Bilioni 348,125,419,000 (bilioni mia tatu arobaini na nane milioni mia moja ishirini na tano laki nne na elfu kumi na tisa) kwa matumizi ya Mwaka wa Fedha 2024/2025. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema hayo […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wa kuandaa Maonesho maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii yenye lengo la kuelimisha wabunge kuhusu masuala ya uhifadhi wa maliasili na uendelezaji utalii yanayofanyika katika viwanja vya Bunge kuanzia leo Mei 30,2024. Akizungumza katika […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Amesema Jiji la Ilala pamoja na Halmashauri za Manispaa ya mkoa wa Dar es salaam Ni marufuku Kuendelea Kujenga ujenzi wa kutawanyika Kwa sababu ya Ardhi yake haipo kama ya mikoa mingine Hayo ameyasema Leo Tarehe 30 Mei 2024 […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila Akiendelea na ziara yake ya siku tatu na Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha ziara yake Katika Wilaya ya Ilala na kuendelea kusikiliza kero za wananchi. MKUU wa mkoa Amekitembelea kiwanda cha nondo kiitwacho Metro Steel kilichopo katika Halmashauri […]