Na Beatus Maganja Wananchi waishio kandokando ya ziwa Victoria wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wamesisitizwa umuhimu wa kuzingatia matumizi ya vizimba vilivyojengwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake za TAWA na TAWIRI maalumu kwa ajili ya kuzuia madhara yanayoweza kusababishwa na wanyamapori aina ya mamba. Hayo yamesemwa Juni 07, 2024 na Mkuu […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mrembo Msanii Irene uwoya Amesema watu ambao wenye Imani potofu Kwa yeye ameokoka na kuwa mtumishi wa mungu na kutangaza urembo sio dhambi mungu ameshaeka Imani hiyo Kwa mwanamke kujiremba na haiepukiki maishani Msanii huyo Amesema Amemrudia mungu wake Kwa kuokoka na kusema baadhi ya matendo yake yamebadilika […]
Na Happiness Shayo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan imeendelea kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na wawekezaji Sekta ya Utalii ili kuwarahisishia ufanyaji biashara na kuendelea kuikuza Sekta hiyo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angelllah Kairuki mara baada […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujenga laini mpya ya Umeme kutoka Nyakanazi-Ushirombo na Kahama Bongwe hadi Bukombe ili kuhakikisha hali ya upatikanaji wa umeme katika Wilaya ya Bukombe inaimarika. Dkt, Biteko ametoa agizo hilo wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa […]
Na Beatus Maganja TANGA Yanyakua tuzo na kujikusanyia vyeti kadhaa vya pongezi* Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imepokea tuzo ya mshindi wa pili wa jumla kwenye maonesho ya 11 ya utalii na biashara almaarufu “TANGA TRADE FAIR” yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja vya shule ya sekondari usagara Mkoani Tanga kuanzia Mei 28, 2024 […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA JUMUIYA ya wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es salaam, wametoa rai kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA kutumia njia ya ushirikishaji katika kukusanya mapato, badala ya kutumia njia zisizofuata misingi ya kisheria ikiwemo vishoka. Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo Juni 07/2024 Jijini Dar es salaam Mwenyekiti […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Amshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa katika nyanja za elimu hapa nchini -Awataka wanafunzi kutokata tamaa, wanayo nafasi kubwa ya kubadili maisha yao. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 6,2024 amefanya ziara katika chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) […]