Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐ *Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika ๐ * Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati ๐ Aiomba Ujerumani kuendelea kufadhili miradi ya nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishatiย Mhe. Dkt Doto Biteko,ameieleza jumuiya ya wafanyabiashara wa ujerumaniย na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanaoย kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa msaada wa Baiskeli 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kupata elimu . Akizungumza na Waandishi wahabari leo Juni 11, 2024 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Steve Nyerere amesema […]
Na Mwandishi wetu -Barcelona,Hispania Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Kampuni ya IFEMA ya Madrid, Hispania inayojihusisha na uandaaji wa Onesho linaloongoza duniani la Feria Internacional de Turismo (FITUR) lengo ikiwa ni kuangalia namna bora ya kuboresha ushiriki wa Tanzania katika Onesho hilo […]
Na mwandishi wetu WAMACHINGA -Akagua maendeleo ya barabara ya Tabata Mazda hadi Kimanga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 10 ,2024 amefanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mazda kimanga Km 3.7 Wilaya ya Ilala. RC Chalamila amefanya ukaguzi huo kufuatia ahadi aliyoitoa kwa wananchi wakati […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katika kuhakikisha burudani hazipoi na kuwafikia watanzania Hatushikiki imekuja na kuzama kwa jua ili kukuza sekta ya burudani na kuwafanya wasanii kutoa burudani ya aina yake. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendajiย wa Kalito’s Way Group of Companies, Carlos Kalito, amesema kuwa wana sheherekea mafanikio ya biashara […]
Na Madina Mohammed ARUSHA Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhifadhi na kulinda rasilimali za wanyamapori nchini ikiwa ni pamoja na kudhibiti wa wanyama wakali na waharibifu, Marafiki wa Serengeti Uswisi “Friends of Serengeti Switzerland” wametoa msaada wa mahema 20, mabegi ya kulalia “Sleeping bags” 20 yenye thamani ya Shillingi Millioni thelathini laki tisa […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wasafi Bet Wamtambulisha mshindi wa milioni 20 ambaye anayetokea Tabora Saidi Daudi pia amesindikiwa na washindi watano walioweza kujishindia simu janja ya SMART PHONE Saidi amejishindia pesa hizo Kwa bet ambayo aliyoweza kucheza na kubashiri na kuingia Katika droo hiyo na baadhi Yao walishinda shilingi 10000 Kwa kila […]
Asisitiza hakuna mgawo wa umeme* Amshukuru Rais Samia kuiimarisha Sekta ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, kwa sasa nchi ina umeme wa kutoshaย kuwawezesha Watanzania kufanya shughuli zao za kiuchumi. Dkt. Biteko amesema hayo leo Juni 9, 2024 wakati alipoungana na Waumini wa Kanisa la AIC […]