Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 5 sheria ya bima sura ya 394. Pamoja na majukumu mengine imepewa mamlaka ya kuratibu maswala yote ya kisera kuhusu bima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ofisi zake za Makao makuu ni Dodoma lakini pia ina Ofisi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Tanzania yawakilishwa na Naibu Katibu Mkuu Nishati, Ajenda ya Nishati jadidifu yajadiliwa kwa kina* 📌 *Nchi wanachama watakiwa kubuni miradi ya Nishati jadidifu rafiki kwa mazingira* Abu Dhabi, UAE Mkutano Mkuu wa Baraza la 15 la Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA) umezinduliwa rasmi mjini Abu Dhabi Falme za […]
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo kikuu cha kushindilia gesi asilia (CNG) kilichopo Ubungo, Dar es Salaam. Ametangaza kuwa kituo hicho, kinachojengwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), kitaanza kutoa huduma za kujaza gesi asilia kwenye magari kuanzia Februari 3, 2025. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Tawala wa mkoa wa dar es salaam Toba nguvila Amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya ubungo waanze mkakati wa haraka sana wa ujenzi wa uzio wa hospital Kwa kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya uzio Ameyasema hayo Leo Katika Kuendelea na ziara yake ikiwa ni siku ya pili Kwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Hali ya upatikaji wa barabara na madaraja yafikia 19% Kibaya ,Kiteto WANANCHI wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ambao utasaidia kufungua uchumi wa wilaya hiyo. Wakizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo wananchi hao wamesema awali […]
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania TIRA na wadau wake Januari 7, 2025 wamekabidhi hundi ya mfano ya shilingi milioni 321 kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ikiwa ni mwitikio wa Sekta ya Bima nchini kuunga mkono Maadhimisho ya 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo kilele chake kitakua ni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, amefanya ziara katika mradi wa kihistoria wa Samia Housing Scheme unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Kawe, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ililenga kukagua maendeleo ya mradi huo mkubwa unaolenga kuboresha makazi nchini. Akiwa eneo la mradi, Mkuu wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja. Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya Arusha-Holili ambayo iliathiriwa na mvua katika maeneo ya Kwamsomali na King’ori. “Mhe. Rais ametoa zaidi ya shilingi bilioni […]
Simanjiro WAKAZI wa Wilaya ya Simanjiro wameipongeza Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutatua kero ya muda mrefu ya barabara na madaraja wilayani humo. Wakizungumza wakati wa ziara ya waandishi wa habari kutembelea miradi ya ujenzi wa miundombinu wilayani humo wakazi hao wamesema kabla ya ujenzi wa miundombinu hiyo walikuwa […]