Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Wakati sakata la ushoga likiendelea kutawala mijadala kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wameendelea kukemea na kutoa maonyo juu ya vitendo hivyo. Wakizungumza na waandishi wa habari mapema leo, viongozi hao wakiwemo maaskofu, wachungaji na ma-sheikh pamoja na wakufunzi wa vyuo vya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TABORA TARURA Mkoa wa Tabora imepokea fedha za dharuraย kiasi cha shilingi milioni 790ย kwaajili ya kurejesha mawasiliano ya miundombinu ambayo yameathiriwa na mvua za Elnino mkoani humo. Meneja wa TARURA Mkoa wa Tabora, Mhandisi Lusako Kilembe amesema kwamba fedha hizo zitatumika kurejesha mawasiliano ya barabara ambazo zilikatika kutokana na mvua […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesema inajiimarisha kufatilia vyombo vya habari na waandishi wa habari wanaopotosha habari hususani katika kipindi cha kuelekea uchanguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu wa nchi kwani waandishi wengi wanaonekana kuwa na tatizo la kusoma namba hali inayopelekea kuandika takwimu zisizo sahii. […]
Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amesema Bodi anayoiongoza imejipanga kuja na mipango madhubuti ya kuifanya Hifadhi ya Pande iliyopo Jijini Dar es Salaam kuwa kivutio kikubwa kwa watu waishio ndani na nje ya Jiji hilo. Akizungumza na waandishi wa habari katika ziara […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Asema wasanii wanamchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa -Awataka kupitia kazi zao za sanaa kufikisha ujumbe wa matumizi ya matokeo ya Sensa ya mwaka 2022 kwa jamii Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 12,2024 amefungua mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA ***Treni ya SGR haijaja kuchukua nafasi ya ndege Wala Mabasi ****Mizigo mikubwa haitakiwi,chakula Wala Wanyama inaitaji kuwa Treni ya kimataifa Shirika la Reli Tanzania TRC limezindua Safari ya Treni ya Mwendokasi kutoka Dar es salaam Mpaka Morogoro Na kuanza Rasmi safari hiyo siku ya ijumaa ya Tarehe 14 […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA *๐ Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa* *๐ Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati* *๐ Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha ujio wa wawekezaji* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko amekutana na […]