Asisitiza Serikali itaendelea kushirikiana na wawekezaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Modern Industrial Park wanaomiliki kongani ya viwanda eneo la Kibaha, Mkoani Pwani. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 24 Juni, 2024 katika ofisi za Naibu Waziri Mkuu Bungeni, jijini Dodoma. Aidha, Dkt. […]
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb) amezindua rasmi Ripoti za Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi na Sensa ya Majengo ya Mwaka 2022. Amezindua ripoti hizo leo Juni 22, 2024 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa Kuongoa Ardhi na Misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100), kuweka mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki kuhakikishaย lengo la kuongoa misitu hiyo linafikiwa kwa kuona […]
Na MWANDISHI WETU WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Aitaka Jamii kuacha kushabikia vitendo vinavyodharirisha utu wa binadamu -Asema mtoto anasitahili kulindwa na kupatiwa haki yake -Atoa rai kwa jamii kuacha tabia za kibaguzi kwa watoto wenye ulemavu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 20,2024 ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Mtoto […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Ataja umuhimu wa kampeni hii kwa wananchi wa Dsm -Asema Madaktari Bingwa na Wabobezi katika taalum mbalimbali ni sehemu ya kampeni hiyo na ataja huduma zitakazotolewa -Aainisha Ratiba ya Upimaji Afya katika ngazi za Wilaya zote -Awashukuru wadau wote waliowezesha kampeni hiyo -Kwa upande wake Dr. Mohamedi Mang’una […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA *๐ Upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia kufika hadi ngazi ya Kaya* *๐Asisitiza kuisukuma ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia* *๐Asilimiaย 80 ya Watanzaniaย kutumia Nishati Safi ifikapo 2034* *๐Serikali kuendelea kushirikiana na UNCDF NA EU* Imeelezwa kuwa, Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na Washirika wengine wa Maendeleo wamekuwa msaada mkubwa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Sakata la tuhuma za harufu ya ufisadi na rushwa katika vibari vya sukari lililoibuliwa na Mbunge wa kisesa Luhaga Mpina limeendelea kuzua mjadala na kuwaibua watu wa kada mbalimbali kuzungumzia sakata hilo, Mchambuzi wa maswala ya uchumi na siasa Kassim Kibao ameibuka na kuzungumza na waandishi wa habari […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐ *Ahimiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi* ๐ *Awataka Wakuu wa Idara na Vitengo kutoa fursaย kwa Maafisa* ๐ *Asisitiza motisha kwa wanaofanya vizuri* ๐ *Dkt. Mataragio asisitiza ushirikiano na kuzingatia muda* Katibu Mkuu wizara yaย Nishati, Mhandisi Felchesmi Mrambaย leo 18 Juni, 2024 amekutana naย Wafanyakazi wa Wizara ya Nishatiย […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufikaย Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Bilioni 172.83 sawa na asilimia […]