Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Asema Ofisi ya CAG na Wakurugenzi wasikimbiane -Asisitiza umuhimu wa kuwa mahiri katika kuzuia hoja na sio kujibu hoja -Apongeza Manispaa ya Ubungo na Kinondoni kwa kupata Hati safi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 26,2024 akiwa katika muendelezo wa kushiriki mabaraza […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda, amebainisha kuwa tangu kuanzia kwa kambi ya madaktari bingwa na wabobezi mkoani humo siku ya tarehe 24 Juni, 2024 na hadi kufikia jana tarehe 25 Juni, 2024 tayari jumla ya watu 6434 wamehudumiwa vema na kupatiwa na kusema kulingana na takwimu za […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Ni kuhusu miradi inayotekelezwa na wizara kupitia TPDC DKt Biteko afungua rasmi, aishukuru PAC kwa mchango wao sekta ya Nishati Waitaka TPDC kuwekeza kwa kutumia fedha za ndani na sio kutegemea wafadhili pekee Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza kamati ya […]
Rais William Ruto amesema hatotia saini Mswada wa Fedha wa 2024 kuwa sheria . Katika kikao na waandishi wa habari siku moja baada ya maandamano makubwa kushuhudiwa nchini kupinga mswada huo ,Ruto pia ametangaza hatua mbalimbali za kupunguza mgao wa fedha za matumizi katika Ofisi ya Rais na idara nyingine za serikali ikiwemo bunge . […]
Na Happiness Shayo DODOMA Tanzania imeweka rekodi kubwa ya Kimataifa kwa mieziย ya Januari hadi Machi 2024 kwaย kushika nafasi ya 5 kwa nchi ambayo imeweza kuvutia watalii zaidi duniani na nafasi ya kwanza Barani Afrika kwa kuvutia watalii kimataifa, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism). Hayo yamesemwa na Waziri […]
Marekani, Uingereza na mataifa mengine yamelaani kutekwa nyara na kuuawa kwa waandamanaji nchini Kenya wakati wa maandamano yanayoendelea ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha ambayo yamekuwa yakifanyika kote nchini. Katika taarifa ya pamoja, Mabalozi na Makamishna Wakuu kutoka nchi 13 walielezea wasiwasi wao juu ya ghasia zinazoshuhudiwa kote nchini na kusababisha vifo. โTunasikitishwa sana […]
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Ufaransa Thierry Henry ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuchukua nafasi ya Rob Page kama meneja wa Wales. Henry, ambaye amewahi kuinoa Monaco na Montreal Impact, anasimamia kikosi cha Ufaransa chini ya umri wa miaka 21 na anajiandaa kuiongoza timu ya Olimpiki ya nchi yake kwenye Michezo huko Paris mwezi […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KENYA Baada ya siku ya maandamano, ghasia na umwagaji damu, Rais wa Kenya William Ruto alihutubia taifa kwa ujumbe wa huzuni na wenye nguvu. Akisema maandamano “halali” dhidi ya sera zake “yametekwa nyara na kundi la wahalifu waliopangwa,” alionya serikali yake itatumia njia zote ili kuzuia kujirudia kwa ghasia hizo, “kwa […]
-RC chalamila apongeza kitengo cha mawasiliano Serikalini kwa kupatiwa tuzo ya ushindi -Atoa maelekezo mahususi kuboresha utendaji kazi wa kitengo hicho Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 25,2024 amekabidhi tuzo na cheti cha ushindi kwa kitengo cha mawasiliano serikalini kupitia katibu Tawala wa Mkoa huo Dkt Toba Nguvila tuzo […]
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeelezea Mipango yake ikiwemo kuendelea kuwawezesha Wachimbaji Wadogo wa Madini nchini, huku msisitizo ukiwekwa kwenye ununuzi wa mitambo na huduma za uchorongaji ili kuwasaidia kupata taarifa za miamba, hatimaye wachimbe kwa tija. Hayo yalielezwaย Juni 24, 2024 na Meneja Uwezeshaji Uchimbaji Mdogo kutoka STAMICO Bw. Tuna Bandoma kwenye Wiki […]