Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 75)
FEATURE
on Jun 29, 2024
256 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetaka wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kutumia njia mbadala ya uchenjuaji na kuacha matumizi hatarishi ya kemikali ya zebaki ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu na Mazingira. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira NEMC Dkt. Menan Jangu […]

FEATURE
on Jun 28, 2024
123 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Heshimuni matumizi ya fedha za miradi* Wizara iwasaidie vijana kuanzisha kampuni na kuwapatia kazi ndogo ndogo ili kuwajengea uzoefu* Makandarasi wazawa kupewa kipaumbele katika malipo ya kazi walizofanya* Wakandarasi wanawake wapongezwa* ๐Ÿ“Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Makandarasi nchini kutekeleza miradi ya […]

FEATURE
on Jun 28, 2024
239 views 28 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Kijiji cha Bima kimezinduliwa rasmi leo, Juni 28, 2024, katika Maonesho ya 48 ya Sabasaba yanayofanyika Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) na wadau wake wamekusanyika katika tukio hili muhimu kuashiria umoja wao katika sekta ya bima, wakilenga kuboresha huduma za bima kwa Watanzania na kuhakikisha soko […]

FEATURE
on Jun 28, 2024
300 views 2 mins

Na Happiness Shayo Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa katika kuhakikisha kunakuwapo na vyanzo endelevu vya uzalishaji wa mbegu bora za miti sambamba na ulimaji miti hiyo kibiashara, Serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imeanzisha upandaji wa miti jamii ya Mninga katika mashamba yake ya Miti […]

FEATURE
on Jun 28, 2024
207 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Amtaka Meneja kuhakikishaย  anawasimamia vema mkandarasi Mradi kuleta tija kwenye upatikanaji wa Umeme Kishapu, Shinyanga Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga ameridhishwa na hatua mbalimbali za maendeleo katika upatikanaji wa huduma ya Umeme mkoaniย  Shinyanga huku akimsisitiza mkandarasi mradi wa umeme wa Jua wilaya ya […]

FEATURE
on Jun 27, 2024
213 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Asema ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili* Ahusisha na ukatili wa kijinsia na mauaji ya Albino* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuzingatia utamaduni wao na katu wasiendekeze utamaduni wa kigeni kwan kwa kufanya hivyo ni sawa na kuuza uhuru wao kama nchi. Dkt. […]

FEATURE
on Jun 27, 2024
226 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM SERIKALI imesema itaendelea kuboresha mazingira ya kisera na kisheria ili kuimarisha zaidi Sekta ya Habari nchini. Hayo yomebainishwa leo Juni 27, 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Thobias Makoba akifungua kongamano la Uhuru wa Vyombo vya Habari […]

FEATURE
on Jun 27, 2024
195 views 32 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Chuo Cha Bahari Dar es salaam DMI Kwa kushirikiana na chuo Cha Bahari Cha Ghana wameandaa kongamano la Tatu ambalo linalotarajia kufanyika Julai 4 na 5 Katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam Ameyasema hayo Leo Tarehe 27 Juni 2024 Mkuu wa chuo […]

FEATURE
on Jun 27, 2024
201 views 35 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wajadiliย  Mradi waย  Maboresho Sekta ya Nishatiย  _(Energy Sector Reformย  Programme) Serikali yaeleza ilivyotimiza masharti ya EU ili kupata fedha za Maboresho ya Sekta ya Nishati Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmiย  Mramba leo 26 Juni, 2024,ย  amekutana na kufanya mazungumzo naย  Ujumbe kutokaย  Umoja wa […]