Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi ya Mageuzi ya Vijana Tanzania (AGRA) imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Sera wa Vijana na Ubadilishaji wa Mifumo ya Chakula, ambao utawakutanisha wawakilishi wa vijana, washirika wa utekelezaji, na wadau muhimu katika mlolongo wa thamani ya mifumo ya chakula ili kuwezesha mazungumzo na vijana ili […]
Tanzania imekuwa kinara katika programu ya kizazi chenye usawa ambapo imechaguliwa kuingia katika bodi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusu wanawake (UN WOMEN) kati ya nchi saba (7) duniani zilizochaguliwa kuingia, huku Tanzania na Afrika Kusini ndo nchi pekee katika Bodi hiyo kutoka Bara la Afrika. Kauli hiyo imetolewa leo Julai 2, 2024 jijini […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii NSSF umewataka watumishi wanaotarajiwa kustaafu kuanza kujiandaa ikiwa ni pamoja na kuhakiki taarifa zao za msingi sambamba na kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha hali itakayosaidia kupunguza changamoto za maisha pindi wanapostaafu Rai hiyo imetolewa na meneja wa mafao wa NSSF Ilala wakati […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA LINDI WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema matokeo ya sensa yanapaswa yawafikie watendaji na walengwa wote katika ngazi ya mkoa na Halmashauri na yawe msingi wa rejea katika kufanya maamuzi yote ya kibajeti, kupanga miradi ya maendeleo na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kisekta. Ametoa agizo hilo leo Julai 2, […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Maji Juma Aweso amesema serikali kupitia Wizara ya Maji ipo kwenye mchakato wa kuweka luku ya maji ambayo itaenda kutatua tatizo la wananchi kupatiwa bili ambazo si sahihi kulingana na matumizi yao Ametoa kauli hiyo leo Jijini Dar es salaam akiwa katika ziara yake jijini humo ambapo amepata wasaa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafurahishwa na namna makada, wanachama na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanavyoendeleza umoja miongoni mwao. Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Alliance For Democratic Change (ADC) Doyo Hassan Doyo amesema hayatambui matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Shaban Itutu kama Mwenyekiti wa Chama kutokana na uchaguzi huo kutozingatia katiba ya Chama hicho. Doyo Hassan Doyo ambaye alionekana kutokuwa na upinzani […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Bwana Raymond Mndolwa, amewataka wahandisi na watumishi wa Tume kuheshimu, kusimamia na kutekeleza miradi kwa viwango na ubora. Amesema ni aibu kwa taasisi kuwa na miradi isiyokidhi viwango hivyo hatakuwa tayari kuona miradi hiyo inaiangusha serikali na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Mndolwa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi Wanamaji kinaendelea na ufuatiliaji maalum kuanzia Mei hadi Juni, 2024 katika kudhibiti uhalifu ukanda wa Bahari ya Hindi. Katika ufuatiliaji huo kikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es salaam kikitumia boti za Polisi walifanikiwa kukamata majahazi mawili, MV. UKIMAINDI POA na jahazi lingine lisilokuwa na […]