Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kuwa moja ya washiriki wa maonyesho yanayoendelea ya SABASABA, ambayo yamezinduliwa na Mheshimiwa Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan kwani Maonyesho ya SABASABA ni tukio kubwa la kipekee nchini linalotoa fursa ya kutangaza bidhaa na huduma za sekta mbalimbali. Maonyesho hayo yenye Kauli […]
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo yamebainika leo Julai 4,2024 wakati wa kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imepokea taarifa ya Utafiti wa Madini ya Dhahabu unaofanywa na Kampuni ya Twiga Corporation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali kwa asilimia 16 na Kampuni ya Barrick Tanzania Limited kwa asilimia 84 ikiwa ni utaratibu kwa Serikali kupokea taarifa za maendeleo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu UVCCM (MNEC) Jokate Mwigelo amewataka vijana kujitokeza kwa wingi katika uwanja mkapa (Lupaso) jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni maalum ambayo imelenga kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura. Wito huo ameutoa jijini Dar es Salaam wakati alipokua akizungumza na waandishi wa habari ambapo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Asema uchumi wa buluu ni shughuli zote za kiuchumi zinazohusiana na Bahari, Maziwa Makuu na rasilimali zake Uchumi wa Buluu mchangiaji mkubwa wa maendeleo Wizara na Taasisi za Serikali zatakiwa kushirikiana na DMI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kulinda viumbe vya baharini na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wizara ya fedha ni Wizara muhimu katika maendeleo ya Taifa na ufanikishaji wa Maazimio ya Dira ya Taifa ya Maendeleo Nchini, kwa kuzingatia hilo jana Kamati ya usimamizi wa Dira. Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu ya kitaalamu na uandishi wa dira ya Maendelo 2050 , walikutana kuweza kupata picha […]
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini (Mb) ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuweka vionjo vya utalii wa utamaduni hasa wa kabila la Wazanaki kama nyumba na vitu vya asili vya kabila hilo lenye asili ya Butiama, Mkoani Mara. Ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Sabasaba mara […]
Na MADINA MOHAMMED WAMACHINGA DAR ES SALAAM Chuki ni hali ya mtu au kikundi cha watu kutopenda kitu fulani. Ni kinyume cha upendo. Kuchukia mambo mabaya ni jambo la kustawisha utu na kujenga afya ya mwanadamu lakini kuchukia mambo mema ni jambo la kudidimiza utu na ustawi wa mtu na jamii inayomzunguka. Wataalamu wa saikolojia […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama msingi wa maendeleo endelevu kupitia Sera […]