Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Asema upatikanaji wa fedha hizo utawezesha upanuzi na ukarabati wa majengo ya Hospitali hiyo ya Rufaa ya Mkoa -Atoa rai kwa wadau mbalimbali kujitokeza kwa wingi kuchangia -Abainisha kilele cha Harambee hiyo ni Agosti 31,2024 katika ukumbi wa Mlimani City Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albaert Chalamila leo […]
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amehamasisha Watanzania kuchangamkia fursa zilizopo katika Sekta ya Misitu, Nyuki na Utalii ili kujiongezea kipato na kupata ajira. Ameyasema hayo leo Julai 5,2024 alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Jerald Mweli amewataka vijana kuchangamkia fursa zilizopo katika miradi ya kilimo ili kujitengenezea ajira ya kudumu. Mweli amesema hayo katika kongamano la vijana wanaojishughulisha na kilimo nchini lililoandaliwa na shirika la mageuzi ya kijana Tanzania(AGRA) kupitia mradi wa Building a Better Tomorrow […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KUFUATIA upotoshaji unaoendelea kutolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na ufahamu juu ya sheria mpya ya sukari, Bodi ya Sukari Tanzania imesema kupitishwa kwa sheria hiyo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaenda kutowesha mfumuko wa bei ili isimuumize mwananchi, upatikanaji wa uhakika, uwazi katika usambazaji wake pamoja na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA BODI ya Sukari nchini Tanzania imesema msimamo wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwalinda wananchi, wakulima, wawekezaji na wadau wengine muhimu kwa kuhakikisha inafanya maboresho makubwa kwa maslahi ya Watanzanaia wote. Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania Profesa Kenneth Bengesi, aliwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo kazi kwa karibu ili iweze kufanikisha malengo ya Tanzania kufanya vizuri kwenye michuano hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo kwenye hafla […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus ametembelea Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Taasisi zake katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea kwenye Uwanja wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar Es Salaam leo tarehe […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwananchi Communications Ltd yapongezwa kwa ubunifu Kongamano la Wajasiriamali wadogo na wa kati kuibua fursa (MSMEs) Serikali kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imetoa mikopo ya shilingi bilioni 108.43 ili kuwezesha uanzishaji na uendelezaji wa viwanda vya uongezaji thamani wa mazao ya kilimo na mifugo nchini. Hayo yamebainishwa leo Julai […]
NA MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu imejipanga kuhakikisha inaendelea kuwafikia wananchi wanaopata huduma katika banda jumuishi la ofisi hiyo wakati wa maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba kwa kuhakikisha wanapewa […]