Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa viwanda na biashara Suleiman jafo Leo ametembelea Katika maonyesho 48 ya Kimataifa ya Sabasaba ambayo yanakuwa Kwa kila mwaka wa mwezi wa Saba na watu wa mataifa wote wanakuwa hapo Kwa ajili ya kutangaza biashara zao Waziri wa viwanda na biashara Suleiman jafo Amesema Katika maonesho […]
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) ameihakikishia sekta binafsi hususani Wafanyabiashara naWawekezaji wa Viwanda kuwa watapata ushirikiano mkubwa katika kutatua changamoto mbalimbali za kibiashara ili kuhakikisha wanafanya biashara kwa chini ya uongozi wake. Ameyasem hayo Julai 5, 2024, alipokuwa akizungumza na baadhi ya Taasisi zilizochini ya Wizara yake zinazofanya kazi […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amewahakikishia wafanyabiashara wa Tanzania kufanya uratibu mzuri wa shughuli za kibiashara ili kuleta faida kubwa sana katika nchi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kikao cha pamoja kilichowashirikisha watendaji wa Wizara ya viwanda na Biashara ya Tanzania na Wizara ya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mjumbe wa NEC, Idara ya Organization wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Gavu amewataka vijana kujitokeza Kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kushiriki kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi za Serikali za Mitaa na Vitongoji utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Wito huo huo ameutoa leo, Julai […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha mapinduzi (CCM) komredi Amos Makalla, amesisitiza kwamba Chama hicho hakiwezi kujitenga na Matatizo ya Wananchi, hivyo amewataka watendaji wa Serikali wakiwemo Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi kuendelea na Utaratibu wa kutenga muda ili Kusikiliza na Kutatua kero mbalimbali za Wananchi. […]
-Asikikiliza maoni na ushauri katoka pande zote mbili wafanya biashara wakubwa na machinga-Aelekeza kuundwa kamati ambayo itaongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 06,2024 amekutana na kufanya kikao na viongozi wa wafanyabiashara wakubwa na machinga wa kariakoo katika ukumbi wa Arnatoglo […]
Dkt. Biteko azitaka Kampuni za ushirika kurejesha rasirilimali kwa jamii Maafisa ushirika watakiwa kutengeneza Sura ya Ushirika Benki ya Ushirika wa mazao kuanzishwa Watanzania wanahimizwa kujisajili kwenye Bima ya mazao Serikali imetoa bilioni 13 ruzuku kwa wakulima wa Tumbaku *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]
-Asema Katika uchaguzi huo, watakaochaguliwa ni Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa pamoja na Wajumbe Watano [5] -Ataja sifa muhimu za Mwananchi kujiandikisha na kushiriki uchaguzi huo -Abainisha uhakiki wa Maeneo ya Kiutawala Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 06,2024 amekutana na waandishi wa habari ofisi kwake Ilala Boma kwa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Mikoa na Ugatuzi kutoka nchini Zimbawe, Mheshimiwa Ezra Chadzamira ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizochini yake na kueleza kuwa Tanzania na Zimbabwe zitaendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo na uvuvi. Ametembelea banda hilo tarehe 06 Julai, […]
Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia huku ikijinasibu kuwa na fursa lukuki za uwekezaji Akiongea na wageni waliotembelea banda la TAWA […]