Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Aipongeza Bodi ya GST kwa utendaji uliotukuka* *Prof. Ikingura atoa tano kwa Menejiment ya GST* Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameshiriki hafla fupi ya kuiaga Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ambayo imefikia mwisho wa muda wake wa kuiongoza taasisi hiyo tangu kuteuliwa kwake mwaka […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) likiwa ndiyo mwakilishi wa wafanyakazi Tanzania na moja wa wadau wakubwa wa sheria za kazi Nchini, tulipokea mapendekezo ya marekebisho ambayo tayari yamekua ni mswada na baadae tukapokea mwaliko wa kuwasilisha maoni yetu kama wadau. Yafuatayo ni baadhi ya maeneo ambayo tumeyatolea maoni ambayo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Wateja wapya 109,918 waunganishiwa na huduma ya umeme nchini* ๐ *Kamati ya Bunge yaipongeza TANESCO kwa kuimarisha Miundombinu ya umeme* Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuwa uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyounganishwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa hadi kufikia mwezi Desemba, mwakajana ni jumla ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa, amesema kuwa serikali inajizatiti kutatua changamoto zinazotokana na mvua katika usafiri wa treni za Mwendokasi (SGR). Kadogosa ameeleza kuwa mvua kubwa inayoendelea kunyesha inasababisha maji kuingia katika sehemu ambazo ziliharibiwa na wahalifu, hivyo kusababisha hitilafu katika miundombinu hali iliyopelekea kusimamishaย kwa treni […]
Na Mwandishi wetu-Dar es salaam Akiba Commercial Bank imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni “twende kidigital tukuvushe Januari” na imewahimiza kuendelea kutumia huduma zake za kidijitali kama vile ACB Mobile, Internet Banking, ACB VISA Card, na ACB Wakala ili kufurahia uzoefu wa kipekee wa kibenki. Shukrani hizo zimetolewa Jijini Dar es salaam Januari,2025 Mkuu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 kutoka milioni 5.2 ya sasa* ๐ *Asema Mkutano wa Mission 300 umekuwa kivutio duniani; Taasisi za Kimataifa zaonesha nia ya kushiriki* ๐ *Ataja sababu za mkutano wa M300 kufanyika Tanzania* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko amesema kuwa maandalizi ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa ๐Rais Samia kinara wa Michezo nchini Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo yamebainishwa leo Januari 15, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akifungua Kongamano la […]
๐ *Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15 IRENA* ๐ *Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi* ๐ *Ngozi, Kiejombaka, Songwe na Luhoi yatajwa kuwa miradi ya kimkakati uzalishaji Jotoardhi* Abu Dhabi, UAE Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali kubwa ya uwekezaji miradi ya jotoardhi ambapo jumla […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZY Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 61 ya Mapimduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika Viwanja vya Gombani Kisiwani Pemba, Zanzibar. Mgeni wa Heshima katika Sherehe hizo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. […]