Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya Dawa na vifaa tiba TMDA imewataka watanzania kuacha kutumia dawa kiholela bila kufuata maelekezo na ushauri wa wataalamu badala yake amesisitiza matumizi sahihi ya dawa Ili kupunguza tatizo la usugu wa maradhi. Hayo Ameyasema Leo 9 julai 2024 mkurugenzi mkuu wa TMDA Adam Fimbo Amesema Katika […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amezitaka nchi za Afrika kuwa na sera nzuri za uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kuharakisha maendeleo ya sekta hiyoย na kukuza uchumi wa Afrika. Akizungumza wakati wa kuzindua mpango mkuu wa maendeleo wa mifumo ya chakula 2030 uliofanyika jijini Dar es Salaam, […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu waziri wizara ya Uchukuzi David Kihenzile ameeleza kuridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato mkoani Dodoma ambao umefikia asilimia 67.6 kwa upande wa miundombinu ya njia ya kurukia ndege huku ukiwa umefikia asilimia 32.21 kwa upande wa jengo la abiria. Naibu Waziri Kihenzile […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais William Ruto amelivunja baraza lake la mawaziri na kuziacha nafasi mbili pekee-ya Kiongozi wa mawaziri na Waziri wa Masuala ya Kigeni Musalia Mudavadi na afisi ya naibu wa rais Rigathi Gachagua . Amesema atachukua muda kufanya majadiliano ya kuunda baraza jipya la mawaziri litakalohusika na uendeshaji wa serikali. Mara moja […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mwenyekiti wa Wasanii na Muigizaji Steve Nyerere Wamemuomba Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kuwa kipaumbele Chao Cha kwanza ni Elimu Kwa wasanii Amesema kuwa Kuna watu wanaitajika kupewa elimu ni Director,Camera Man, Producer na Editor Hayo Ameyasema Leo 11,Julai 2024 Mwenyekiti wa Wasanii na Muigizaji Steve Nyerere wakati wakitoa […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuepuka kutoa kauli au kufanya vitendo vyenye taswira inayoweza kutafsiriwa kuwa baadhi yao wanashabikia ukandamizaji wa haki za wananchi. Katibu Mkuu Balozi Dkt. Nchimbi amesisitiza kuwa maneno na vitendo vya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Alhamis, 11 Julai 2024, amefungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Watendaji na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), wilaya zote na mikoa yote, nchi nzima, yanayofanyika katika Chuo cha UVCCM Ihemi, mkoani Iringa. Baada ya kuwasili chuoni […]
KLABU ya JKT Tanzania imetangaza kumsajili mkongwe John Bocco kwa ajili ya msimu wa 2024/25 kwa mkataba wa mwaka mmoja. Simba ilimkabidhi majukumu Bocco kuwa kocha mkuu wa kikosi cha Vijana wenye umri chini ya miaka 17 msimu wa 2023/24 ukielekea ukingoni. โHakuna muda wa kupoteza ๐ช โTOP SCORER OF ALL TIMEโ ameshaanza mazoezi,โimesema taarifa […]