Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 67)
FEATURE
on Jul 17, 2024
202 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA “Mnamo tarehe 6/11/2022 watu wawili waliojiita Wanachama wa Young Africans SC walifungua kesi Mahakama ya Kisutu, Bwana. Juma Ally pamoja na Geofrey Mwipopo. Walifungua kesi dhidi ya Wajumbe wa Baraza la Wadhamini ambao ni Mama yetu Fatma Karume, Abeid Mohamed Abeid na Mzee Jabir Katundu kwa madai ya kuwa hawalitambui baraza […]

FEATURE
on Jul 17, 2024
276 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Viongozi wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo wanatarajia kufanya ziara ya kikazi kwenye mikoa 22 na majimbo 125 ya Tanzania Bara kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu (2024) na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani (2025) Taarifa ya chama hicho iliyotolewa mbele ya […]

FEATURE
on Jul 17, 2024
163 views 3 mins

Na Veronica Simba WMA Ataka Taasisi nyingine ziige mfano wake* Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Selemani Jafo, amepongeza Wakala wa Vipimo (WMA) kwa utendaji kazi mahiri na wenye weledi na kutoa wito kwa Taasisi nyingine zilizo chini ya Wizara hiyo kuiga mfano wake. Ametoa pongezi hizo mapema leo, Julai 17, 2024 jijini Dodoma […]

FEATURE
on Jul 17, 2024
236 views 5 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF Makao Makuu Dodoma. RC Chalamila baada ya kupokea ugeni huo amefanya mazungumzo […]

FEATURE
on Jul 17, 2024
194 views 5 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA,) inamshikilia Shaban Musa Adam (54,) mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kutengeneza dawa za kulevya ambapo pia amekamatwa naย  kemikali bashirifu na dawa tiba zenye asili ya kulevya takribani lita 16,523 ambazo zimekwisha muda wa matumizi. Akizungumza na waandishi […]

FEATURE
on Jul 16, 2024
119 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Atoa rai kwa wakazi wa Dar es salaam na watanzania kujitokeza kwa wingi kupatiwa matibabu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 16,2024 amepokea Melivita ya matibabu iitwayo Peace Ark ya Jeshi la ukombozi la watu wa China katika Bandari ya Dar es Salaam. RC Chalamila […]

FEATURE
on Jul 16, 2024
130 views 12 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya Azam Media Limited. Vifaa hivyo ni pamoja na Magari ya kisasa ya kurushia matangazo (OB Van), kamera za kisasa pamoja na mfumo wa kusaidia maamuzi viwanjani (VAR). Vifaa hivyo vilivyogharimu […]

FEATURE
on Jul 15, 2024
329 views 22 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kufanya filamu nyingine ya Royal Tour katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi baada ya kujionea wanyamapori mbalimbali katika Hifadhi hiyo. Dkt. Samia ameyasema hayo leo Julai 15, 2024 alipokuwa akizungumza na wananchi  katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, […]

FEATURE
on Jul 14, 2024
307 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KUTOKANA NA Sera nzuri za Uwekezaji zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Mtwara umepata mwekezaji mpya wa uchimbaji wa gesi asilia atakayezalisha futi za ujazo milioni 100 kwa siku. Hayo yamebainishwaย  Julai 11, 2024 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa […]

FEATURE
on Jul 14, 2024
142 views 54 secs

Na Beatus Maganja Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa za ufugaji wa wanyamapori zinazopatikana katika Taasisi ya TAWA. Ameyasema hayo leo Julai 13, 2024 alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Katika Maonesho ya 48 ya biashara […]