Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Awataka kujindikisha na kujiandaa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuchagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwenye uchaguzi mwaka huu ambao watakuwa mstari wa mbele kuleta maendeleo na kutatua changamoto zao kwa haraka. Dkt. Biteko ameyasema hayo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amezindua Ripoti ya Maendeleo ya Watu Tanzania, 2022 Wizara, Taasisi, Mashirika na wadau watakiwa kutoa maoni Makongamano ya kikanda kuendelea Imeelezwa kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha na maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi kwa siku za usoni. Hayo yamebainishwa leo Julai 20, 2024 na Naibu Waziri […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Zajadili ushirikiano katika utafutaji, usambazaji wa Gesi Asilia na Mafuta* Tanzania yaikaribisha Indonesia uendelezaji wa Jotoardhi* Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Pahala Mansury ambapo mazungumzo yao yalijikita katika kuongeza ushirikiano kati ya nchi hizo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KIGOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Amesema kuwa wapiga kura hao ni ambao watakuwa wametimiza umri wa miaka 18 katika kipindi cha kuanzia […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umekabishiwa vifaa vya kilimo na Kampuni ya Kichina ya AMEC Group. Akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo leo Julai 19, 2024 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida amesema vifaa hivyo lengo ni kuwasaidia vijana kujikwamua […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri mkuu wawataka Wamiliki wa nembo nchini kuhakikisha wanafuatilia bidhaa zao sokoni Kwa kutoa taarifa Katika tume ya ushindani FCC pale wanapobaini uwepo wa bidhaa zao wanapoziagiza nchini na wanapoeka alama za bidhaa zao (NEMBO) na kuhakikisha wanadhibiti bidhaa bandia haziingii nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Dkt.Mataragio azindua programu ya ushirikiano ya TriDEP Inalenga kuongezea Wataalam uwezo katika eneo la Nishati Jadidifu TriDEP kugusa pia uimarishaji wa Gridi ya Taifa* Serikali ya Marekani, India na Tanzania zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika miundombinu ya umeme unaotokana na Nishati Jadidifu ili iweze kuchangia ipasavyo katika gridi ya Taifa kama ilivyo […]