Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 65)
FEATURE
on Jul 24, 2024
236 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Atoa maelekezo mahususi juu ya ufanisi na utekekelezaja wa miradi ya barabara katika Mkoa. -Ataka kuwa na ubunifu wa matumizi ya ‘Road Reserve’ na maeneo ya wazi -Asema Dar es Salaam ni salama sana vitendo vichache vya kiharifu vimeendelea kudhibitiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo […]

FEATURE
on Jul 24, 2024
206 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka kuwajenga wananchi sio kuwagawa* Asema Rais Samia amerahisisha upatikanaji wa maendeleo* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi kushirikiana na kuheshimiana ili kuchochea maendeleo ya watu na sio kukwamisha maendeleo Dkt. Biteko amesema hayo wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji […]

FEATURE
on Jul 24, 2024
300 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA GEITA NA KAGERA Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Geita na Kagera utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 05 hadi 11 Agosti, 2024 ambapo vituo vitafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs […]

FEATURE
on Jul 24, 2024
200 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) – Mwenge – Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5. Pia, ujenzi wa […]

FEATURE
on Jul 24, 2024
166 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe,  Mhe.George Simbachawene  amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa heshima aliyowapa wananchi wa Kibakwe kwa kuwaletea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Mhe. Simbachawene ametoa kauli hiyo leo kwa nyakati tofauti wakati […]

FEATURE
on Jul 24, 2024
236 views 9 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZAMBIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika, Bi. Elcia Grandcourt, ambapo pamoja na mambo mengine  kikao hicho kilijikita katika kuendeleza ushirikiano na Shirika hilo hususan, fursa na programu […]

FEATURE
on Jul 24, 2024
169 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ni sehemu ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia* Serikali kushirikiana na  Wadau upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia hadi vijijini* Tanzani yatajwa  kinara  Nishati Safi ya Kupikia* Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mwaka huu wa fedha itatoa mitungi […]

FEATURE
on Jul 23, 2024
193 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni 5 (5,000,000) kwa Shule ya Msingi Changarawe iliyopo kata ya Mzumbe, Kijiji cha Changarawe wilayani  Mvomero Mkoa wa Morogoro. Akikabidhi madawati hayo kwa niaba ya Kamishna wa TAWA katika hafla ya kukabidhi madawati […]

FEATURE
on Jul 23, 2024
267 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waipongeza Serikali ya Rais Samia kuboresha huduma za jamii* Waomba kujengewa Barabara kusafirisha mazao* Dkt. Biteko aagiza kukamilishwa, kutumika Zahanati Kijiji Ilyamchele* Awahakikishia ukarabati wa Barabara ipitike nyakati zote* Wananchi wa Kijiji cha Ilyamchele, Kata ya Namonge Wilayani Bukombe wameipongeza Serikali kwa kuboresha huduma mbalimbali za jamii katika Kata hiyo huku […]

FEATURE
on Jul 23, 2024
179 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa(Mb) amewataka Wapangaji wanaokaa kwenye nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango ili fedha hiyo itumike kujenga majengo mapya na kuboresha huduma katika majengo mengine ya Wakala huo. Bashungwa ametoa agizo hilo leo Julai 23, 2024 katika […]