Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), […]
Na Antonio Kiteteri WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam,imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi dhidi ya TLS (Chama cha Mawakili Tanganyika) kupinga kuondolewa kwake kugombea nafasi ya urais ndani ya Chama hicho cha mawakili nchini katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Baada […]
Na Rachel Tungaraza Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, ameonesha mabadiliko katika sera za Marekani kuhusu Gaza. Katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, Kamala Harris amesisitiza umuhimu wa kukamilisha makubaliano ya amani na kuleta suluhisho juu ya vita vya Gaza ambavyo vimesababisha hasara kubwa kubwa nchini humor na vifo vya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe amesema Serikali imetengeneza uchumi dumavu usiozalisha ajira na kuwatelekeza vijana. Akizungumza na wananchi akiwa Jimbo la Buyungu Mkoani Kigoma jana Julai 24, 2024 amesema tatizo la ajira linatishia utulivu na kusababisha vijana wengi wasio na ajira kuwa tegemezi. “CCM isifikirie kuwa Gen Z […]
Na Anton Kiteteri WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati Daktari Dotto Biteko ametoa rai kwa wananchi kushirikiana na kuheshimiana na viongozi wao ili kuwapa nafasi ya katimiza wajibu wao wa kuwaletea maendeleo badala ya kukwamishana. Dk. Biteko ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Msangila,kata ya Runzewe magharibi,wilaya ya Bukombe,mkoa […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Shirika la reli Tanzania (TRC) Leo hii imeanza Kutoa huduma za safari kutoka dar es salaam kuelekea mjini dodoma ambapo shirika hilo limesema kuwa utekelezaji huo umetokana na juhudi za Mhe Rais Samia suluhu Hassan Ambapo alitoa maelekezo kuwa ifikapo julai mwaka huu 2024 TRC iwe imeshatekeleza mradi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi -Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi 28,2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ametoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari ofisini kwake kuhusu maadhimisho ya Siku ya Homa ya INI […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya wananchi wa Mkoa huo katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa wa Tanzania katika eneo […]
Na Catherine Mbena SAADANI Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Jenerali (Mstaafu) George Marwa Waitara, jana Julai 24, 2024 ilitembelea Hifadhi ya Taifa Saadani kwa ajili ya kukagua utendaji kazi ambapo ilipata fursa ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya hifadhi hiyo. […]