Na Anton Kiteteri WAMACHINGA DAR ES SALAAM Wakati aliyekuwa msemaji wa mabingwa wa soka nchini na mabingwa wapya wa kombe la Toyota Yanga ,ndugu Ally Kamwe kutangaza kujiuzuru nafasi hiyo hapo jana ,rais wa timu hiyo Mhandisi Said Hersi amesema taarifa hizo hazitambui. “Sina taarifa za Alli Kamwe kuachia ngazi,nilichoelewa ni kwamba inaonekana alikuwa anacheza […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAKATI uchaguzi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ukitarajiwa kufanyika Agosti 2, mwaka huu jijini Dodoma, wagombea nafasi ya Urais wamejinadi namna ya kujenga chama hicho kwenye misingi yenye nguvu ikiwamo kuondokana na vishoka katika taaluma hiyo. Wagombea wanaowania nafasi hiyo ni Wakili Sweetbert Nkuba, Paul Kaunda, Revocatus Kuuli, Emmanuel Muga, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa wateja walioomba huduma ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA ambayo ni Mikoa ya Pwani na Dar es salaam. Zoezi hilo limeendelea katika Mikoa ya kihuduma […]
Na Anton Kiteteri Wakati Dunia inaadhimisha Siku ya Homa ya Ini wananchi wamelalamikia kukosekana kwa elimu juu ya ugonjwa huo, hali ambayo inasababisha watu wengi kushindwa kufahamu namna ya kujikinga. Wananchi hao wanasema kukosekana kwa elimu kunasababisha wengi wao kuchelewa kugundua na kutibu ugonjwa na kuufanya usambae na kusababisha ongezeko la maambukizi. Pia wananchi wengi […]
Na Anton Kiteteri Chama Cha ANC kimemfukuza uanachama rais wa zamani wa Africa Kusini Jacob Zuma.Uamuzi huo ambao haujatangazwa rasmi, ulichukuliwa baada ya kesi za kinidhamu kuanzishwa mwezi huu dhidi ya kiongozi huyo wa zamani ambaye bado ana umaarufu na ushawishi mkubwa nchini humo. “Mwanachama aliyeshtakiwa amefukuzwa katika chama cha ANC,” umesema waraka uliovuja, ambao […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kupitia Jeshi la Polisi, imesema inafuatilia kwa karibu na itawachukulia hatua wote watakaobainika kujihusisha na tabia ya kutumia vyomvo vya habari na mitandao ya kijamii kuzusha taarifa za uongo zinazohusisha uhalifu ukiwemo wa watoto kupotea au kutekwa na hivyo kuzua taharuki […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA , KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku tano huku akiwataka wanachama wa CCM kuwa madhubuti kushikamana, kupendana,kushirikiana na kutambua kuwa wanawajibu wa kuwatumikia watanzania kwa nguvu zote. Hayo ameyasema leo baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba TMDA imebaini kuwepo Kwa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii Kuhusu uwepo wa dawa aina ya paracetamol ambayo imeandikwa P 500 na kudaiwa kubabua ngozi Ameyasema hayo mkurugenzi wa Dawa na vifaa tiba TMDA Adam Fimbo Amesema Dawa iyo inayodaiwa kuwa ni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Bonanza la Nishati Dodoma* Ataka Watumishi kupendana na kushirikiana* Atunukiwa Nishani ya Uasisi Bonanza la Nishati* EWURA yaibuka mshindi wa Jumla; Mkurugenzi Mkuu amshukuru Dkt.Biteko kuthamini Watumishi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto Biteko amewakumbusha Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuiishi Kauli Mbiu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Leo tarehe 27 Julai 2024, Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake wameshiriki katika michezo mbalimbali katika Bonanza la Nishati Jijini Dodoma likibebwa na Kaulimbiu Shiriki Michezo Imarisha Afya. Mgeni rasmi katika Bonanza hilo ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye ameambatana […]