Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA t -Zaidi ya walimu 1000 kupanda Treni ya ya Umeme SGR kwenda Hifadhi ya Taifa Mikumi-Morogoro -Lengo ni kuunga mkono Juhudi za Mhe Rais Dkt Samia kufuatiaย uwekezaji mkubwa alioufanya katika usafiri wa reli ya SGR Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 30,2024 akiongea na […]
Na Anton Kitereri Takriban watu 65, wengi wao wakiwa ni watotoย waliuawa tangu siku ya Jumamosi kwenye mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa na wanamgambo wa kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) katika mji wa jimbo la Darfur wa El-Fasher. wanaharakati hao wamesema kwamba mji huo wa jimbo la Darfur Kaskazini ndio mji mkubwa ambao haujadhibitiwa na […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Imeelezwa kuwa Serikali imelenga kupata faida katika huduma ya usafiri wa treni za umeme za Mwendokasi kupitia usafirishaji wa mizigo na sio kupitia abiria wa kawaida. Hayo yamesemwa julai 30,2024 na Waziri wa Uchukuzi profesa Makame Mbalawa wakazi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko ambao mpaka sasa umefikia asilimia 63 na unatarajiwa kukamilika mwezi Februari, 2025. Waziri Ulega amesema hayo leo alipotembelea kukagua maendelea ya ujenzi wa mradi huo unaofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Tanzania commercial Bank Baada ya kuzindua huduma ya Toboa na Vikoba Leo pia imeweza kuzindua huduma ya akaunti ya kidigitali ambayo itakayomfanya Mteja alipie bili mbalimbali inayoitwa TCB POPOTE ACCOUNT Ameyasema hayo Leo Tarehe 30 Julai 2024 Mkurugenzi wa Masoko ukuzaji wa Biashara na mahusiano ya umma Deo […]
Na Rachel Tungaraza Uingereza imewataka raia wake kuondoka Lebanon na kutosafiri kwenda nchini humo kutokana na kuongezeka kwa mivutano katika kanda ya Mashariki ya Kati. Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uingereza, David Lammy, amesema hali inabadilika haraka katika kanda hiyo, na wizara yake inafanya kila iwezalo kuhakikisha usalama wa raia wake. Juhudi kubwa za […]
Na Madina Mohammed KISARAWE WAMACHINGA Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani imeandaa Tamasha la kimataifa la kihistoria la BATA MSITUNI(Msituni Festival) litakalo shirikisha nchi 3,Tanzania,Uganda na Afrika kusini lenye Lengo la kuhamasisha utalii na kutangaza kituo cha utalii cha Kazimzumbwi kilichopo Pugu Mkoani humo. Ameyasema hayo Leo Tarehe 29 Julai 2024 Mkuu wa Wilaya ya kisarawe […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake kwa rais Samia Suluhu Hasani na taarifa zimedai kwamba rais amekubali ombi lake la kuachia ngazi nafasi yake na kwamba Kinana hakufafanua zaidi hatua yake ya kuachia ngazi ghafla.
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko aweka Jiwe la Msingi Aitaka TANESCO Kusimamia Mradi kikamilifu Ataka Wakandarasi wazembe Wachukuliwe Hatua TAZA kuiwezesha Rukwa kupata umeme wa gridi Serikali imesema kuwaย mradi mkubwa wa usafirishaji umeme wa TAZA unaohusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 400ย kutoka Iringa hadi Sumbawanga na kuunganisha […]
Na Rachel Tungaraza Israel-Golan Baraza la Usalama wa Taifa la Israel limeidhinisha serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuchukua hatua kali kujibu shambulizi la roketi lililotokea katika Milima ya Golan na kusababisha vifo vya vijana na pamoja na watoto Uamuzi huo umekuja baada ya kikao cha dharura kilichofanyika kufuatia shambulizi hilo ambalo limeacha taifa katika […]