Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) naWakala wa serikali wa uwezeshaji wananchi kiuchumi zanzibar ( ZEEA) Makubaliano haya ya kimkakati yanalenga kuanzisha mpango maalum wa mikopo utakaonufaisha makundi maalum wakiwemo wanawake na vijana wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar. Mpango huu unakusudia […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Prof. Ikingura aongoza Kikao cha 19 Bodi ya GST Asisitiza kutangaza bidhaa na huduma zinazotolewa na GST Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeelekezwa kuendelea kuitangaza bidhaa inayoizalisha ya vyungu vya kuyeyushia sampuli za miamba na udongo wenye madini ya dhahabu (crucibles) ili kuongeza makusanyo ya ndani na […]
Na Anton Kiteteri .Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema anaelewa juhudi za Mzize kiwanjani hasikilizi maneno ya mashabiki ataendelea kumtumia kwasababu kile anachomuelekeza anafanya huku akiweka wazi kuwa suala la kufunga hakuna mchezaji anafundishwa inatokea tu. “Mbinu zote ninazomuelekeza anazifanya na amekuwa mchezaji ambaye anafanya mambo mengi uwananjani huwa sisikilizi nini kinasemwa naangalia nini […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANZANIA imepata dola za Marekani Bilioni 2.32 kwa kuuza tani milioni 1.57 za mazao ya matunda na jamii ya kunde huko China, India, Marekani, Pakistan na Brazil. Hayo yamesemwa leo (Alhamisi, Agosti Mosi, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na viongozi na wananchi mbalimbali waliohudhuria ufunguzi wa Maonesho ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia kufungua Mkutano Mkuu 2024* Awataka Mawakili kuchaguana kwa haki* Wananchi zaidi ya 7358 wamefikiwa na TLS kupata huduma* TLS wampongeza Rais Samia kuundwa kwa Tume ya Haki Jinai* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeongeza udahili wa wanafunzi wa Taaluma za Afya ngazi ya kati, kutoka wanafunzi 20,030 mwaka 2020 hadi kufikia wanafunzi 25,390 ili kuounguza changamoto za upatikanaji wa watumishi wa kada hiyo. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Julai 31, 2024 wakati akitaja […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kutoa vibali vya ajira kwa kila Mwaka katika Sekta ya Afya ili kupunguza changamoto ya uhaba wa watumishi kutokana na maendeleo katika Sekta hiyo. Rais Dkt. Samia amesema hayo leo Julai 31, 2024 wakati akifunga Kongamano […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, inayoendelea katika mikoa ya Kusini, akianzia Mtwara na sasa yuko Lindi, imewahamisha viongozi waandamizi wa vyama vya ACT Wazalendo, CUF na Chadema walioamua kujiunga CCM leo, wakisindikizwa na mamia ya wanachama waliorejesha kadi zao za vyama vya […]