Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amemwagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni au naibu wake kuungana nae kwenye ziara mkoani Kagera kwa ajili ya kutoa ufafanuzi malalamiko ya wananchi kuhusu upatikanaji wa vitambulisho vya uraia, maarufu kama NIDA. Balozi Nchimbi ambaye yuko katika […]
NA Anton Kiteteri Awambia wanayanga waje waone mpira wa hesabu. Dar es Salam KATIKA kuelekea mchezo wa leo wa Ngao ya Jamii kati ya watani wa jadi Simba na Yanga,msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amewambia wanachama na mashabiki wa Simba wafurahie hata kama watafungwa kwa maana watakuwa wamefungwa na timu bora. Manara ambaye […]
Veronica Simba na Paulus Oluochi – WMA* Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amesema WMA ina mchango mkubwa katika sekta ya kilimo hususani katika mazao ya kimkakati ambayo ni korosho, ufuta, kahawa, tumbaku na pamba. Amebainisha hayo Agosti 3, 2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ikiwa ni siku ya tatu katika kuadhimisha sikukuu za wakulima zilizoambatana na maonesho yanayofanyika kanda zote nchini na Dodoma yakiwa yanafanyika kimataifa, Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania imeendelea kutoa elimu katika maeneo mbalimbali yanayohusiana na tasnia hiyo. Akijibu swali lililoulizwa na watembeaji kutoka mradi wa Kilimo Tija Kigoma chini ya […]
Na Richard Mrusha Dodoma NAIBU Waziri wa Kilimo David Silinde amewaasa wadau wa masuala ya kilimo kuiga mfano wa Pass leasing wa kutoa matrekta kwa wananchi 9 ambayo yanakwenda kurahisisha kilimo kwa wananchi hao. Akizungumza katika banda la Agricom ambako zana hizo zilikabidhiwa kwa walengwa wakiwemo wanawake na vijana ambao ndiyo nguvukazinya ya Taifa Silinde […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM: Katika ripoti ya kina, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Temeke Bw Holle Makungu, alifichua kuwa Taasisi hiyo ilikagua miradi yenye thamani ya jumla ya bilioni 28/- katika kipindi cha miezi mitatu. Alisema ukaguzi huo ulihusisha miradi sita ya Manispaa ya Temeke yenye thamani […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mbio za hisani za Maendelo Bank zenye lengo kukusanya milioni 200 zitakazo saidia vituo viwili vya watoto kwenye Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro ambapo itasaidia watoto waliozaliwa chini ya miezi 9 pamoja na kituo cha watoto yatima cha mtoni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Apinga matokeo mahakamani ALIYEKUWA urais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Sweetbert Nkuba ametangaza kupinga matokeo mahakamani yaliyompa ushindi Wakili Boniface Mwabukusi huku akitaja sababu mbalimbali anazodai zimehujumu uchaguzi huo. Akizungumza jana jijini Dodoma, Wakili Nkuba alisema hakubaliani na matokeo hayo na anapinga matokeo yaliyotangazwa na Kamati ya uchaguzi ya […]