Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC). Kongamano hilo linafanyika siku mbili kwa kuwakutanisha wanataaluma, wahandisi wanawake pamoja na wanafunzi wanaosoma masomo ya Sayansi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka REA, Wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradi Mkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwa Vitongoji 3,060 kupelekewa umeme Wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati hususan miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kukamilisha kwa wakati na REA kuwasimamia wakandarasi kwa kutenda haki. Hayo yamebaibishwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. […]
Serikali Yaokoa dola milioni 600 Chini ya Uongozi wa Rais Samia miezi minne ya kazi DP World Bandarini. Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha dola milioni 600 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na DP World. Kupungua […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kutokana na mazingira mazuri ya kibiashara ambayo yamewekwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepelekea Kampuni ya Luminous Power Technologies kuingia makubaliano na Kampuni ya Swaminath Trading ili waweze kuuza bidhaa zenye ubora wa kimataifa zinazotumia umeme wa jua. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya kumuenzi Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Balozi Nchimbi amezitaja mojawapo ya kazi hizo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Asema viongozi mabingwa wa upinzani, walio waadilifu wataendelea kurejea CCM mmoja baada ya mwingine_ _Ziara yake yamng’oa Katibu wa Chadema Kagera na mamia wengine*_ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema chama hicho kitaendelea kuwa sauti ya wasio na sauti. Balozi Nchimbi amesema kuwa viongozi […]
Na Veronica Simba – WMA Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amefanya ziara ya kushtukiza katika mashamba ya wakulima mbalimbali eneo la Mang’ola wilayani Karatu, Mkoa wa Arusha na kuridhishwa na namna wakulima hao wanavyozingatia matumizi ya vipimo sahihi. Akiongoza Timu ya Wataalamu wa WMA katika zoezi […]