Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati za Usalama, Viongozi wa Chama na Serikali, Wenyeviti mitaa/Vijiji na Madiwani wa Wilaya ya Kisarawe na Ubungo Leo Wamekutana kutatua Kero na Changamoto ya MIPAKA katika Maeneo ya MLOGANZILA NA KISOPWA – KINGANZI B Kikao kazi Kimeazimia Kufanyika kwa Mkutano wa Hadhara katika eneo lenye mgogoro ili kutoa elimu kwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha unganishwaji wa huduma ya umeme katika maeneo yote nchini Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila mtanzania kupata umeme kwenye nyumba yake kuanziaย ngazi za mikoa mpaka vitongoji. Mhe. Kapinga amesema hayo Agosti 21, 2024 […]
NA Mwandishi Wetu WAMACHINGA Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika vipaumbele vyake katika […]
Na Pendo Magambo โ WMA* Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari, wamesema wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwa na Tanzania ya Viwanda. Akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi, Meneja anayeongoza Kitengo hicho, Alfred Shungu ameyasema hayo ofisini kwake alipokuwa akizungumza na wanahabari, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 22, 2024 amekutana na timu ya wataalam kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Ofisini kwake Ilala Boma. RC Chalamila pamoja na mambo mengine alipata wasaa wa kufanya mazungumzo na timu hiyo ikiongozwa na Kamishna wa Bimaย Dkt […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024 Jijini Dar Es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupitia na kuridhia mapendekezo ya uundwaji wa kamati ndogo pamoja na Sekretarieti ya Kamati hiyo. Kamati hiyo inayoongozwa na Mhandisi Leodgar Chila […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) leo Agosti 22,2024 Bungeni jijini Dodoma, imepokea taarifa mbalimbali za utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikiwemo taarifa ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 50 wa Shirikisho la Wafugaji Nyuki Duniani […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGtA Kondoa, Dodoma Imeelezwa kuwa kujengwa kwa daraja la mto Hurui lenye urefu wa mita 30 lililopo katika kijiji cha Hurui kata ya Kikore wilayani Kondoa mkoani Dodoma limekuwa msaada mkubwa kwa wananchi waliokuwa wanapata adha ya muda mrefu ya usafiri kutokana na kukosekana kwa daraja baada ya daraja la awali kusombwa […]
Na. Beatus Maganja Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi na Redio/TV ya Crown FM/TV iliyopo nchini, Salim Kikeke amesema uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini – TAWA katika Tamasha la […]
Na Mahamudu Jamal – WMA Meneja wa Viwango na Uhakiki, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Magesa Biyani ametoa rai kwa wabunifu wa vipimo pamoja na teknolojia mbalimbali zinazohusiana na uhakiki wa vipimo kuchangamkia fursa kwani sekta hiyo inakua kwa kasi jambo linalokwenda sambamba na uhitaji wa vipimo vya kisasa na teknolojia mpya za uhakiki wake. […]