Na Beatus Maganja DAR ES SALAAM YATARAJIA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 27 KWA MWAKA* Zipline, Loji zenye hadhi ya nyota 5 na Kambi za Kitalii zenye hadhi ya nyota 4 kujengwa MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA leo Agosti 24, 2024 imetia saini mikataba minne (4) ya uwekezaji wa miundombinu ya utalii […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha uchumi wa kidijitali Sekta binafsi yatakiwa kuchangamkia fursa Azindua Mpango wa Ujuzi wa Kidigitali kwa Wote – Digi Truck Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili iweze kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi kama inavyoelekezwa katika Dira ya Taifa ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa kushirikiana na Taasisi zake pamoja na kutoa elimu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na kujionea vivutio mbalimbali vya wanyamapori kwenye maonesho ya Tisa ya Tamasha maarufu la Kizimkazi Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Akiwa katika banda hilo, huku akiongozwa na mwenyeji wake […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kufungua mtandao wa barabara za vijijini katika wilayaya Ruangwa ili ziweze kusaidia wananchi kusafirisha mazao yao. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa alitoa kauli hiyo jana jioni (Ijumaa, Agosti 23, 2024) wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Namikulo, Kata […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya kupikia Zanzibar Ahamasisha ubunifu katika teknolojia za Nishati Safi ya Kupikia Apongeza ubunifu wa mita za kupimia gesi Wadau wahamasishwa kutoa elimu ya Nishati Safi ya Kupikia Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ni kinara wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa jitihada zake za kulinda maeneo ya misitu nchini na kuwasisitiza kuwa wabunifu na kuongeza mashamba ya miti. Mhe. Chana ameyasema hayo leo Agosti 23,2024 wakati wa kikao na Menejimenti, Maafisa na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar. Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko alitembelea Mabanda ya Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia ambao wanatoa elimu ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa ikolojia.