Na Mahamudu Jamal WMA Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), imewahamasisha watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Ilala, kujenga tabia ya kuwa makini na namna vipimo vinavyotumika kila wanapopata huduma na mahitaji mbalimbali. Afisa Vipimo kutoka WMA Ilala, Yahaya Tunda, amesisitiza hay oleo, Agosti 28, 2024 wakati akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azungumzia suala la magari ya Serikali kufungwa mfumo wa CNG* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC), inajenga vituo vya kujazia gesi kwenye magari (CNG) mkoani Dar es Salaam (viwili) na mkoani Pwani (kimoja) huku […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ——————————————Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimetoa rai kwa Waajiri nchini kuwapa wafanyakazi wao haki ya kujiunga na Vyama vya Wafanyakazi ili kuleta tija katika maeneo ya kazi. Akitoa salamu za TUGHE katika ufunguzi wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE iliyoanza jana Jumatatu Tarehe […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko asema ni matokea ya ziara ya Rais Samia nchini Zambia Aitaka TAZAMA ijiendeshe kwa faida Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amepokea gawio la Serikali la zaidi ya Shilingi Bilioni 4.35, kutoka Kampuni ya Bomba la Kusafirisha Mafuta la Tanzania – Zambia (TAZAMA). Dkt. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe Mkoani Kagera. Mashindano hayo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MOROGORO MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa. Katika vijiji vya mafumbo na Lujenge […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwalimu Mkuu aeleza namna Nishati Safi ya Kupikia ilivyookoa nusu ya gharama* Aeleza athari zilizopatikana wakati wakitumka nishati isiyo safi* Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo shule kuachana na matumizi ya nishati zisizo safi na salama kama kuni na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezishukuru Taasisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA ) kwa kuonesha Wanyamapori hai kwenye Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Ameyasema hayo leo Agosti 25,2024 kwenye […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan amekabidhi cheti cha pongezi kwa ushiriki wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwenye tamasha la Kizimkazi Festival 2024 Hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu ndogo Kizimkazi Zanzibar. Cheti hicho cha pongezi kimepokelewa kwa niaba ya Kamishna […]