Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 54)
FEATURE
on Sep 4, 2024
129 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU  Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia na itaongeza nguvu zaidi ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata fursa mbalimbali katika jumuia za kimataifa. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikisha kuimarisha ushirikiano baina ya nchi washirika na sasa mafanikio yanaonekana. “Rais wetu […]

FEATURE
on Sep 4, 2024
188 views 42 secs

Winga wa zamani wa Manchester United Anthony Martial, 28, amepewa mkataba na AEK Athens ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi klabuni hapo. Mfaransa huyo alikua mchezaji huru wakati kandarasi yake United ilipoisha mwezi Juni. (Sport24 via Sun). Manchester United inamfuatilia kwa karibu beki wa kushoto wa Juventus mwenye umri wa miaka 23 kutoka […]

FEATURE
on Sep 4, 2024
202 views 39 secs

Mazungumzo yanaendelea kati ya Chelsea na AEK Athens kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa Ivory Coast David Datro Fofana, 21. (Mail) Tottenham wamefanya mazungumzo ya kumnunua kiungo wa kati wa Marekani Johnny Cardoso, 22, kwa £21m kutoka Real Betis. (Telegraph – Subscription Required) Kiungo wa kati wa zamani wa Liverpool Naby Keita, 29, yuko kwenye mazungumzo […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
329 views 2 mins

Na.Joyce Ndunguru, Morogoro. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anaeshughulikia Maliasili, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba asisitiza matumizi ya sheria na kanuni katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za uhifadhi. Kamishna Wakulyamba ameyasema hayoleo Septemba 1, 2024 wakati wa ziara ya kikazi aliyoifanya katika ofisi za Makao Makuu ya TAWA yaliyopo Mkoani Morogoro kwa […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
351 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Serikali Kupitia wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA imefanikiwa kuongeza mtandao wa Barabara za Wilaya kutoka kilomita 108,946,19 Hadi kilomita 144,429,77 Mtendaji mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff Ameyasema hayo Leo September 2,2024 jijini Dar es salaam Katika kikao kazi Cha wahariri na waandishi wa habari […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
187 views 17 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Marekani (USG) yatoa huduma za VVU na chanjo kwa takribani vijana 10,000 wenye umri wa miaka 15-24 kupitia mpango wa Ndondo Cup  Dar es Salaam. Ndondo Cup ya mwaka huu imekuwa zaidi ya mashindano ya soka ya kienyeji; imegeuka kuwa mpango muhimu wa uhamasishaji wa afya ya umma, ikitoa […]

FEATURE
on Sep 2, 2024
197 views 21 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amesema kuanzia sasa hataki kusikia changamoto zinazohusiana na Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi zikiwemo changamoto za abiria kukaa muda mrefu katika vituo wakisubiri usafiri ambapo amemuagiza mtendaji mkuu wa DART kushirikiana na UDART kuhakikisha mabasi mapya ya mwendo kasi yanafika […]

FEATURE
on Sep 1, 2024
366 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini yakichangiwa na jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hayo yamesemwa  leo Agosti 31,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) […]

FEATURE
on Sep 1, 2024
189 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Waziri wa Viwanda na Biashara pia ni Mbunge wa Jimbo la kisarawe mkoani pwani Mh.Suleiman Jafo, amewataka  Wananchi wa Jimbo la kisarawe na watanzania kwa ujumla kujitokeza katika kujiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura Ili kumchagua kiongozi imara atakaewaletea maendeleo Katika majimboni kwao Ameyasema hayo Tarehe 31 Agosti 2024 […]

FEATURE
on Aug 31, 2024
295 views 42 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Huduma za kijamii zaendelea kuboreshwa Songosongo* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema wananchi wanaoishi katika maeneo ambayo yana miradi mikubwa ya nishati watanufaika na miradi hiyo kupitia upatikanaji wa huduma mbalimbali. Mhe. Kapinga amesema hayo  Agosti 30, 2024 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mhe. Ally Kasinge Mbunge […]