Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Puma Energy Tanzania kupitia PumaGas imezindua kampeni ya Bei kama Mkaa tu faida kibao yenye lengo la kuwahimiza wananchi kupika kwa nshati ya gesi. Uzinduzi wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Watanzania kunufaika na rasilimali zinazochimbwa katika maeneo yao kwa kutoa fursa mbalimbali ikiwemo ajira. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Septemba 10, 2024 mkoani Mtwara katika hafla ya kukabidhi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Ukamataji huo uliohusisha watuhumiwa watano wanaodaiwa kuhusika na dawa hizo umefanyika kupitia operesheni iliyofanyika Agosti 28 hadi Septemba 2 mwaka huu katika maeneo ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashuhudia makabidhiano leseni ya uendelezaji Gesi Asilia Kisima cha Ruvuma* Azitaka TPDC na ARA Petroleum kutoa kipaumbele kwa wazawa katika ajira* Kitalu cha Ruvuma kuzalisha Gesi futi ujazo trilioni 1.6* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mradi wa Kupambana na Ujangili na Biashara Haramu ya Wanyamapori (IWT) ulio chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii, umekabidhi mizinga ya kisasa 300, vifaa mbalimbali vya kufugia nyuki na kusindika asali vyenye gharama ya shilingi milioni 50 kwa Jumuiya za Hifadhi ya Wanyamapori (WAGA). Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TPDC yatekeleza maagizo ya Dkt.Biteko Msimbati* Wananchi kuanza kunufaika na uwepo wa kituo cha Afya na Polisi* Kapinga asisitiza ushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha wananchi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) umenufaisha kikundi wa kijamii cha COCOBA Chekereni Mikumi Mkoani Morogoro kwa kutoa shilingi milioni 28.8 huku wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujali vikundi vya kijamii ili kujikwamua kiuchumi. Akizungumza […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa Jamii Kuwatunza Wazazi na Kuwaombea Dua* Asisitiza Upendo Miongoni mwa Wanajamii* Watanzania Wasisitizwa Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ABU DHABI Wawekezaji waonesha nia kuwekeza kwenye biashara ya uwindaji wa kitalii na hoteli nchi Maonesho ya Kimataifa ya Uwindaji wa Kitalii yanayojulikana kwa Jina la “Abu Dhabi International Hunting and Equestrian Exhibition – ADIHEX 2024” yamezaa matunda kufuatia idadi kubwa ya wawekezaji waliohudhuria katika maonesho hayo yaliyoanza tarehe 31 Agosti […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Ajenda ya Nishati ya Safi ya Kupikia inagusa makundi yote ya Wanachi* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Septemba […]