Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga asema lengo ni kuwafanya Watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ifikapo 2034. Kwa mwaka huu wa fedha mitungi laki nne kutolewa. Atoa rai kwa Watanzania kuendelea kuhamasishana matumizi ya nishati safi ya kupikia. Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya […]
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Septemba 17, 2024 ameshuhudia fainali ya mashindano ya Doto Cup 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa. Mashindano hayo yameandaliwa na Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Mshindi katika fainali […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza Mkoa wa Kigoma ufunguke kuwa Mwanzo wa Reli Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuipatia Kigoma miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali ili kuufungua mkoa huo kiuchumi. Akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MKUTANO WA 11 WA TAASISI YA MERCK FOUNDATION AFRIKA ASIA LUMINARY KUFANYIKA TANZANIA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt.Dorothy Gwajima amesema Taasisi ya uhisani ya Merck Foundation inayojishughulisha na Huduma za Jamii, inatarajia kufanya mkutano wake wa 11 nchini Tanzania tarehe 29 na 30 Oktoba […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka kuyapa kipaumbele masuala ya wafanyakazi. Ataka changamoto ya wafanyakazi kukaimu muda mrefu kufanyiwa kazi Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga leo Septemba 17, 2024 amefungua kikao kazi cha Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Jijini Mwanza. Lengo la kikao hicho ni kujitathmini, kujipanga na kukumbushana masuala mbalimbali […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dkt John Mboya, akifungua semina ya siku moja kwa mafundi umeme wa mkoa huo, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Paul Matiko Chacha, leo 17 Septemba 2024,amewasihi mafundi umeme wote mkoani humo kuhakikisha wanakuwa na leseni za ufungaji mifumo ya umeme zinazotolewa na Mamlaka […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana amekabidhi madawati 90 yenye thamani ya shilingi milioni 7 kwa Shule ya Msingi Manga iliyopo katika Kijiji cha Manga, Wilayani Ludewa Mkoani Njombe leo Septemba 17, 2024. Madawati hayo yametolewa kwa udhamini […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Astaajabishwa na wingi wa vivutio na kuahidi kuwahamasisha wageni mbalimbali kutembelea eneo hilo* Mkurugenzi wa Kampuni mashuhuri ya utalii inayofahamika kama Green Hippo Travels, Astrid Kleinveld akiwa ameambatana na rafiki yake Naomi Rugenbrink ambao wote ni raia wa Uholanzi, tarehe 15 septemba 2024, walitembelea eneo la Makuyuni Wildlife Park liliopo wilayani […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi zahanati ya Ivilikinge iliyopo Wilayani Makete Mkoani Njombe sambamba na kukabidhi vifaa mbalimbali vya hospitali vilivyotolewa na Benki ya NMB. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, leo Septemba 16,2024, Mhe. Chana […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema lengo ni kuepusha uovu na kuchochea maendeleo_* WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla wahakikishe wanasimamia na kuimarisha maadili mema kwa jamii ili kuepuka maovu na kuleta maendeleo endelevu kwa Watanzania. “Nitumie fursa hii kuendelea kutoa rai kwa wananchi, wazazi na viongozi wa […]