Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya dawa na Vifaa Tiba TMDA imesema kwamba imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya virusi vya ukimwi (ARV’S) Ili kunenepesha mifugo Yao. Taarifa iliyotolewa Kwa vyombo vya habari na mkurugenzi mkuu wa TMDA Adam Fimbo amesema mamlaka […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es Salaam yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Msimamo huo umetolewa na Mwenyekiti wa Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji kwaniaba ya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu akiwa katika ziara ya kikazi Wilayani Uyui Mkoani Tabora amefika nyumbani kwa Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui, Ashura Kangombe kwa ajili ya kutoa pole kufuatia msiba wa Mama […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Happiness Shayo – Iringa Ujenzi wa Barabara ya Iringa – Msembe (km 104) kwa kiwango cha lami uliogharimu takribani shilingi bilioni 142.56 utasaidia kukuza utalii wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hasa katika Hifadhi ya Taifa Ruaha kwa kurahisisha ufikaji wa watalii katika hifadhi hiyo. Hayo yamesemwa leo Septemba […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais Samia ateta na vigogo Jeshi la PolisiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana amefanya mazungumzo na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, wakiongozwa na IGP Camillius Wambura. Kikao hicho kimefanyiia ikiwa ni siku chache baada ya kufanyika maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu wa zamani Jaji Joseph Warioba, ameipongeza Tume ya Haki Jinai iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema imefanya kazi nzuri katika kwa kufika katika maeneo mengi yenye faida kwa Taifa hususan katika upande wa demokrasia. Warioba aliyasema hayo jana katika majadiliano ya […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kutiwa moyo na kuungwa mkono kwa maendeleo makubwa anayoyafanya kwa ajili ya watanzania sio kubezwa au kumkejeli. Wakati Tansania inapata uhuru mwaka 1961 Tanzania ilikuwa na Chuo Kikuu kimoja ila kwa sasa ameimatisha sekta ya elimu na kuwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuokoa muda kwa ajili ya shughuli za maendeleo Atoa wito kwa wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya Kupikia kunamuokoa mtoto kike na athari (adha) zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo […]
Na Mwandishi wetu Zanzibar Imeelezwa kwamba mpango mzuri wa ufuatiliaji na tathimini umewezesha Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufikia malengo ambayo wamejiwekea katika kutekeleza dhima ya taasisi hiyo ya kujenga na kufanya matengenezo ya mtandao wa barabara za Wilaya nchini. Akiongea kwenye Kongamano la Tatu la Kitaifa la Wiki ya Ufuatiliaji,Tathimini na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ataka TANESCO kuongeza kasi utekelezaji miradi ya umeme wa gridi Aagiza majenereta ya umeme wa mafuta Kigoma kuzimwa mwishoni mwa 2024 Azindua ujenzi mradi wa umeme Malagarasi 49.5 MW Atoa neno kuhusu uchaguzi Serikali za Mitaa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme […]