Na Veronica Simba WMA DODOMA Imeelezwa kuwa ujenzi unaoendelea wa Ofisi Kuu ya Wakala wa Vipimo (WMA) unatarajiwa kukamilika Januari 2025. Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa WMA, Karim Zuberi amemweleza hayo Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya aliyefanya ziara kujionea maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo eneo la Medeli jijini Dodoma, Septemba 27, […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Mtandao wa simu Airtel Tanzania leo imezindua promosheni mpya ya ‘JiBoost na Airtel Money’ ambayo i nawapa nafasi watumiaji wa Airtel Money kujipatia shilingi 20,000 taslim ya supa bonasi kupitia miamala ya kila siku watakayofanya. Aidha Mpango huo ni sehemu ya maono ya kampuni ya Airtel […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Mafia Boxing Production imeandaa pambano la Kimataifa lijulikanalo kama “Nock out ya Mama ” litakalofanyika Oktoba 5 Mwaka huu katika ukumbi wa City Centre Magomeni. Akizungumza na Wanahabari mapema leo Septemba 26,2024 Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo Anthony Nurgazi amesema kwamba pambano hilo litawakutanisha mabondia Ibrahim […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atahadharisha kemikali zilizopo kwenye baadhi ya miti* Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vyaanza kupika kisasa kwa kutumia Nishati Safi* Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa rai kwa Watanzania kupika kisasa kwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kuepukana na magonjwa yanayosababishwa […]
Na. Lusungu Helela -Morogoro Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amekutana na kufanya mazungumzo na wachezaji wa michezo mbalimbali wanaoshiriki SHIMIWI kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambapo amewataka Wachezaji hao kuhakikisha wanarudi na ushindi Naibu Waziri Mhe.Sangu ametoa kauli […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja ukimya na kurusha kombora kwa vyama vya upinzani nchini. Kutokana na hali hiyo amesema kuwa viongozi wa vyama hivyo sasa wamekosa pa kupenyea na badala yake wanaibuka na hoja za kutaka kuvuruga Taifa. Akizungumza na wananchi jana Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Rais Dkt. Samia, alisema […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema sio wakati wa kutoa visingizio Wasiotuma washiriki watakiwa kujieleza SHIMIWI yalia na kushuka idadi ya vilabu vinavyoshiriki Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi malengo na misingi ya kuanzishwa kwa kwa michezo hiyo na kuleta tija. Agizo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni Umeme, Maji, Barabara, Elimu na Afya* Mbinga kupata kituo cha umeme cha sh. Bilioni 3* Shilingi Bilioni 83 yapeleka umeme Vijijini Jimbo la Nyasa* Wananchi wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kupitia kwa Naibu Waziri Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga wamemshukuru Rais, Mhe. Dkt. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waheshimiwa wakuu wa wilaya ya Ubungo na kisarawe sambamba na Kamati za Usalama (W) Maafisa Aridhi, Wakurugenzi, Makatibu Tawala na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi pamoja na wenyeviti wa serikali za mitaa na watendaji wa Mitaa na Kata wamekutana na Kutafsiri GN inayoeleza maeneo ya mipaka na kiutawala kwa wilaya za […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ampongeza Dkt.Biteko kutoa muongozo matumizi endelevu ya maji* Asema JNHPP ni kielelezo cha matumizi bora ya maji* Asisitiza Taasisi za Serikali kuendelea kusimamia matumizi bora maji* Imeelezwa kuwa, Mkakati wa ushirikiano uliowekwa na Wizara zinazohusika na Sekta ya Maji ili kutoa elimu ya kulinda vyanzo vya maji pamoja na kushirikiana na […]