Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema aliishi maisha uaminifu, nidhamu na uchapakazi, kitabu cha maisha ya Edward Sokoine chazinduliwa rasmi Singo aeleza nyakati ngumu wakati wa uandishi wa kitabu na namna alivyojikuta amefika ofisini kwa Rais Samia bila kujua DAR ES SALAAM RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kisiasa, watendaji wakuu na vijana wa vyama […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI CHANA AKAGUA MIRADI YA KIMKAKATI HIFADHI YA TAIFA NYERERE Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amekagua maboresho ya miradi mbalimbali ya kimkakati katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Mkoani Ruvuma. Akiwa katika ziara hiyo leo, Septemba 29, 2024 Mhe. Chana amekagua ujenzi wa kiwanja cha ndege, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MUSCAT-Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki katika Kongamano la Kibiashara baina ya Tanzania na Oman lenye lengo la kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uchumi baina ya nchi hizo mbili. Kongamano hilo lililohusisha takribani watanzania 300 limefanyika leo Septemba 29, 2024 katika Hoteli ya Sheraton iliyopo […]
Na Lusungu Helela DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu ameitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kushiriki kwenye Maonesha mbalimbali ya Ubunifu ili kuonesha uzuri wa mifumo iliyobuniwa pamoja na umahiri wa vijana walioandaliwa na Taasisi hiyo ili vijana hao waweze kupata soko kwenye Sekta […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imejidhatiti katika utatuzi wa changamoto ya migongano kati ya wanyamapori na binadamu chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo leo Septemba 27, 2024 katika Semina ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Awataka viongozi ngazi za Mitaa na Kata kuunga mkono juhudi za Mhe Rais kwa kuisemea vizuri miradi hiyo. -Atoa Rai kwa wakazi wa DSM kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, leo Septemba 27, 2024 amemshukuru Rais wa Jamhuri ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Timu ya Mpira wa Pete (Netball) ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) maarufu kama GST Queens imeibuka Mshindi dhidi ya Timu ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika mechi ya kirafiki. Mtanange huo umefanyika leo Septemba 26, 2024 katika viwanja vya Kilimani vilivyopo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia inalenga zaidi Wanawake Afrika Atilia mkazo Taasisi zinazolisha Watu kuanzia 100 kutumia Nishati Safi ya Kupikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili […]
Na.Lusungu S. Helela- Kibakwe Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amewataka Wazazi kutimiza jukumu la malezi ya Watoto badala ya kuwaachia walimu pekee yao kutokana na wimbi kubwa la mmonyoko wa maadili linaloikumba jamii. Amesema malezi ya wazazi kwa watoto ni muhimu sana hususan katika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimesema kuwa kitaendelea kushirikiana kwa karibu na Uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ili kuboresha maslahi ya Watumishi wake pamoja na kuchangia katika ustawi wa Taasisi hiyo. Ahadi hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa TUGHE Taifa, Dkt. Jane Madete alipokuwa […]