Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 42)
FEATURE
on Oct 7, 2024
151 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Maelfu ya wananchi wa mji wa Bariadi na vitongoji vyake waliofurika kwenye mkutano mkubwa wa hadhara mjini hapo wamemtuma Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kufikisha salamu zao kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa wanamhitaji agombee na aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]

FEATURE
on Oct 7, 2024
171 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yashiriki Samia Kilimo Biashara Expo 2024 Kugawa majiko 790 Wilaya ya Gairo Yanatunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji Imeelezwa kuwa, Majiko Banifu yanayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Maonesho ya Samia KILIMO Biashara Expo 2024 yanapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza mazingira, yanadumu na rafiki kwa afya ya […]

FEATURE
on Oct 7, 2024
165 views 2 mins

Na Happiness Shayo-Morogoro Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mhe. Balozi, Dkt. Pindi  Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya Wanyamapori lengo ikiwa ni kuhesabu Wanyamapori nchi nzima kwa uhifadhi wa rasilimali za wanyamapori, misitu ma kuendeleza utalii. Uzinduzi huo utakaogharimu takribani shilingi milioni 560 katika mfumo wa Ikolojia ya Nyerere – Selous – Mikumi yenye […]

FEATURE
on Oct 6, 2024
119 views 38 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio leo tarehe 06 Oktoba, 2024 ameongoza kikao cha maandalizi cha Wataalam kutoka Tanzania watakaoshiriki Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil Week). Kikao kimefanyika Jijini Cape Town nchini Afrika Kusini. Kongamano hilo litafanyika kuanzia tarehe 07 hadi 10, Oktoba, 2024 […]

FEATURE
on Oct 6, 2024
108 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema hadi sasa hakuna chama kingine cha siasa, tofauti na CCM, kinaweza kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM katika kuongoza nchi. Hivyo amewasisitiza Watanzania kuendelea kushirikiana na CCM kwani ndiyo chama chenye uwezo na dhamira ya kuongoza nchi kwa maslahi […]

FEATURE
on Oct 6, 2024
91 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Lamadi, Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 6 Oktoba 2024, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu mkoani humo. Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya […]

FEATURE
on Oct 6, 2024
113 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewahimiza Watanzania kuendelea kushirikiana na CCM, akisisitiza kuwa chama hicho kimeonyesha kwa vitendo uwezo wa kuongoza nchi na dhamira ya kuwahudumia wananchi wanyonge. Dkt. Nchimbi alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Lamadi, Wilaya ya Busega […]

FEATURE
on Oct 6, 2024
214 views 3 mins

Na Beatus Maganja Mradi wa maji safi wenye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 50 uliofadhiliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA  Katika Kijiji cha Nkonko kilichopo Kata ya Nkonko wilayani Manyoni mkoa wa Singida unatajwa kuondoa adha ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa Kijiji hicho […]

FEATURE
on Oct 6, 2024
184 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, ameingi kati suala la kero ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaa huku akiweka wazi dhamira Rais Samia kuhusu mkakati wa kukabiliana na keroย  ya maji na kutaka huduma hiyo inarejea katika hali ya kawaida kwa haraka. Kutokana na hali hiyo alisema kuwa […]

FEATURE
on Oct 6, 2024
205 views 7 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ARUSHA RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongeza kitendo cha walimu 5000 Jijini Arusha wa Shule za Msingi na Sekondari Jijini Arusha kupatiwa mitungi ya gesi ya Oryx na majiko yake kwa lengo la kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia . Akizungumza kwa njia […]