Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya kihistoria kwa muda wa wiki tatu katika wilaya ya Tarime na Serengeti, mkoani Mara kwa lengo la kukabiliana na tatizo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA kusambaza mitungi ya gesi 3,225 Gairo, yaendelea kugawa majiko banifu kwa wananchi Na MWANDISHI WETU -GAIRO RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya bei kwenye mitungi ya gesi inayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili Watanzania watumie nishati safi na salama kwa afya zao pamoja na kuhifadhi mazingira […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atoa wito kwa Watanzania kuyaishi maono ya Rais Samia Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeandaa mkakati madhubuti wa Nishati Safi ya Kupikia wenye lengo kuwaondoa watanzania katika adha itokanayo na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia. Balozi Chana ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kutangaza fursa za uwekezaji kwenye Mafuta, Gesi Asilia na Nishati Mbadala* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium)ย nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemuย Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil Week) linalofanyika Jijini Cape Town. Jukwaa hilo pia limehudhuriwa na Naibu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassaan anamatumaini makubwa kuwa timu hiyo itafanya vizuri kwenye michezo yote miwili. Mheshimiwa […]
Na Veronica Simba โ WMA, Dar es Salaam Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, leo Oktoba 7, 2024 imefanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam na kujionea pamoja na mambo mengine, namna Wakala wa Vipimo (WMA) wanavyosimamia sekta ya mafuta. Meneja wa WMA Kitengo cha Bandari, Alfred Shungu amewaeleza […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amwaga pesa knockout ya Mama Magomeni Wadau wa ngumi washushukuru sapoti ya Rais Samia RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametia mkono katika maendeleo ya mchezo wa masumbwi nchini Tanzania kwa kuamua kutoa zawadi kwa Watanzania wote walioshinda katika mapambano ya ngumi yanayofahamika kama ‘Knockout ya […]
Waziri Chana azindua Utalii wa Puto. Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Uzinduzi huo umefanyika leo Oktoba 7,2024 katika eneo la Korongo View ndani ya […]