Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia mmoja wa kigeni aitwaye Suzan Mary Shawe (75) raia wa afrika kusini. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa. Kufuatia tukio hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika katika Kata ya Nankanga kuungana na […]
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA),ย kufanya tathmini ili kujua athari chanya zitakazopatikana kwa jamii kutokana na ujenzi wa vivuko vipya sita vinavyoendelea kujengwa na kutarajiwa kukamilika hivi karibuni. Akikagua ujenzi huo katika Karakana ya Songoro jijini Mwanza Waziri Ulega amesema Serikali kupitia TEMESA imetenga zaidi ya Shilingi […]
โข *Mwanasheria Mkuu wa Serikali asisitiza kuendelea kusogeza huduma karibu na Wananchi* Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali limekutana na kufanya kikao kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yatakayosaidia kurahisisha utendaji kazi na kutoa huduma bora zaidi za kisheria kwa wananchi. Kikao hicho kimefanyika Januari 24, 2025 katika Chuo cha Uongozi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Watanzania asilimia 78.4 wameunganishwa na umeme ๐Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 100 ๐Vitongoji 33,657 vimefikiwa ๐Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 ๐Rais Samia kinara wa matumizi ya nishati safi Kuelekea mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika, Tanzania imeweka historia kwa kuwaunganishia umeme wananchi kwa asilimia 78.4 ambapo […]
-Yazindua vivuko 2 vya kisasa -Kivuko kimoja kinauwezo wa kubeba watu 250 kwa mara moja kwa kasi ya dakika 5 hadi 6. Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega leo Januari 23, 2025 amezindua mashirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi katika kituo cha Magogoni kwa kuzindua rasmi vivuko 2 ambavyo vitatoa huduma kwa wananchi, uwekezaji […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mvua za Masika zinatarajiwa kuanza Machi 2025 katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua, hasa Kanda ya Ziwa Victoria, Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki, Pwani ya Kaskazini, na kaskazini mwa Mkoa wa Kigoma. Akitoa taarifa hiyo leo Jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi […]
Na Lusungu Helela – SINGIDAย ย ย ย ย ย ย Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)ย Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana naย hoja yake aliyoitoa ya kubeza juhudi ya Serikali ya kutaka kuondoa umaskini wa watu kupitia Mfuko wa Maendeleo ya […]
Na Mwandishi Wetu MoHA-Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote. Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa Vyama vyote […]