Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 39)
FEATURE
on Oct 12, 2024
228 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Muanzilishi na Mratibu wa Tamasha la Samia Festival Hadija Mwanamboka amesema tamasha hilo ni mahususi kwaajili ya kuinua wabunifu wa mavazi nchini Tanzania Amesema hayo Octoba 11 Jijini Dar es salaam wakati wakitambulisha Tamasha hilo litakalo anza kufanyika Novemba 27 Jijini humo akieleza kuwa lengo kuu ni kuwapa jukwaa wabunifu kutengeneza […]

FEATURE
on Oct 12, 2024
120 views 54 secs

Utalii wa malikale wanadiwa Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa   Wanyamapori Tanzania (TAWA) inashiriki maonesho ya Nane ya Kimataifa ya Swahili International Tourism Expo (SITE) yaliyozinduliwa Leo Oktoba 11, 2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa […]

FEATURE
on Oct 12, 2024
117 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Ni Eyasi-Wembere, Songo songo Magharibi na Mnazi Bay* Jotoardhi nayo yatajwa Kongamano la Mafuta Afrika* Kamishna Shirima atoa uhakika wa miundombinu ya gesi asilia Tanzania* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio amewakaribisha wawekezaji kuingia ubia na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ajili ya utafutaji […]

FEATURE
on Oct 12, 2024
121 views 53 secs

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Nia ni watanzania wengi zaidi watumie nishati safi ya kupikia* Asema UWT itaendelea kuishauri Serikali uwepo ya mitungi ya gesi ya gharama nafuu zaidi* Wanawake na watoto watajwa kuwa waathirika wakubwa matumizi ya nishati isiyo safi* Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UWT), Mary Chatanda amesemaJumuiya hiyo itaendelea  […]

FEATURE
on Oct 12, 2024
170 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR/MIKOANI WAKATI zoezi la uandikishaji wapiga kura likianza kwa siku ya jana nchini hali ya mwitiko wa wananchi imekuwa nzuri huku katika baadhi ya maeneo machache wananchi wajitokeza kwa suasua. Hatua hiyo ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaoatarajiwa kufanyika Novemba 27,  mwaka huu. […]

FEATURE
on Oct 11, 2024
172 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Oct 11, 2024
91 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka viongozi wa CCM kutenda haki kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba mwaka huu. Akizungumza na viongozi na wanachama mbalimbali wa CCM Wilaya ya Kahama leo, tarehe 10 Oktoba 2024, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kikazi […]

FEATURE
on Oct 10, 2024
123 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni kupitia Mkutano wa Wiki ya Mafuta Afrika* Aeleza jinsi Sheria za Tanzania zinavyowiana na mazingira ya uwekezaji* Asema Tanzania ina miundombinu wezeshi ya usafirishaji bidhaa za mafuta na Gesi Asilia* Aeleza miradi inayotoa hakikisho la uwepo wa umeme wa kutosha* Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda ya nchi* Naibu […]

FEATURE
on Oct 10, 2024
176 views 14 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Oct 10, 2024
227 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA yapongezwa kwa elimu ya nishati safi ya kupikia Yaendelea kugawa majiko banifu na mitungi ya gesi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya asilimia 50 ya bei kwa mitungi ya gesi inayosambazwa nchini na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Hayo yamebainishwa leo […]