Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 38)
FEATURE
on Oct 15, 2024
156 views 20 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awaasa kuchagua viongozi watakaowatumikia kwa weledi* Naibu Waziri Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga amewahamasisha wananchi katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kujitokeza kwa wingi katika zoezi  la kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ili waweze kuchagua viongozi watakaowaletea maendeleo. Mhe. Kapinga amesema hayo […]

FEATURE
on Oct 15, 2024
118 views 56 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa jamii kuwa na mtazamo chanya juu ya Nishati Safi ya Kupikia* Asema viongozi wataendelea kuhamasisha  Nishati Safi ya Kupikia* Naibu Waziri Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia yanaenda kuwaokoa  watu wenye mahitaji maalum na kadhia zinazotokana […]

FEATURE
on Oct 15, 2024
162 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MWANZA RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuwaacha vijana katika uongozi wake na ndio maana amechagua viongozi wengi vijana wanaomsaidia kazi Serikalini, na hivyo kuahidi kushikana nao bega kwa bega. Kauli hiyo aliitoa jana Jijini Mwanza wakati wa akihutubiamaelfu ya wananchi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru […]

FEATURE
on Oct 14, 2024
113 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -GEITA RAIS Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya madini nchini inachangia asilimia 56 ya fedha yote ya kigeni inayoingia nchini kila mwaka, na hivyo ni sekta muhimu kwa ukuaji wa uchumi, Kauli hiyo aliitoa jana mjini Geita, wakati akihutubia wakati akifunga maonesho ya saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini mkoani […]

FEATURE
on Oct 14, 2024
91 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Awataka kushindana kwa hoja, akiwakabidhi jukumu zito Serikali za Mitaa_ _Asema โ€œCCM itawashinda kwa namna ambavyo hawajawahi kushindwaโ€_ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na […]

FEATURE
on Oct 13, 2024
148 views 41 secs

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya ubungo Hassan bomboko ameendelea kuwahamasisha wananchi kujitokeza na kujiandikisha Katika Daftari la mkaazi Ili KUSHIRIKI uchaguzi na kumchagua viongozi wa serikali ya mtaa Amesema wamepita Maskani na Vijiwe vyote vya kata ya manzese kuhamasisha wananchi Kuitikia wito wa kujiandikisha “Ni wajibu wa kila Mwananchi wa Ubungo Kujitokeza na […]

FEATURE
on Oct 13, 2024
151 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Onesho la Swahili International Tourism Expo (S!TE) mwaka 2024 limehitimishwa rasmi leo Jijini Dar es Salaam kwa mafanikio makubwa kwa kuingiza takribani wanununuzi 120 wa Kimataifa wa bidhaa za utalii. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Oktoba 13,2024 wakati akifunga Onesho hilo katika ukumbi wa Mlimani City,Dar es […]

FEATURE
on Oct 12, 2024
173 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Asema ni mapumziko ya kitaifa, ili wananchi washiriki kupiga kura kikamilifu_ . _Asisitiza kila mwenye sifa ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa_ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassanย  ameitangaza 27 Novemba mwaka huu, kuwa siku ya mapumziko ya […]