Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KAMATI Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya Hewa (SOFF) imekutana kwa mara kwanza katika ukumbi wa hoteli ya Morena, Morogoro, tarehe 16 Oktoba 2024, ikiwa na lengo la kupitia na kuidhinisha nyaraka muhimu za kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi huo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Jiji la Mwanza kufumuliwa kila eneo na kulifanya lenye hadhi nchini Asema ametoa bilioni 24/- ujenzi wa barabara za lami katika jiji hilo na kuupongeza Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) kwa usimamizi mzuri aonya wakandarasi waliopewa kazi ya ujenzi -MWANZA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Seikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema kazi kubwa ya ujenzi wa miundimbinu ikiwemo ya barabara katika Jiji la Mwanza ni utekelezaji wa dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kufanya uboreshaji mkubwa katika jiji hilo Amesema Rais Samia Samia ametoa […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko amesema ifikapo Disemba mwaka 2024, Serikali inatarajia kutoa mitungi Gesi zaidi ya Laki Nne ambayo itakayowezesha kuwanufaisha Watanzania kwa ajili ya matumizi ya Nishati Safi ya Kufikia. Biteko ametoa kauli hiyo Jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizindua Soko la […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amesema Serikali imekuwa ikitumia takwimu za kisayansi kufanya maamuzi yaliyojikita kuimarisha uhifadhi wa Wanyamapori ili kuwa na Utalii endelevu. Mhe.Chana ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16,2024 Jijini Arusha wakati akizungumza na Menejimenti yaTaasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) Njiro – […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais Samia ametoa shilingi bilioni 14 kutekeleza mradi huo. Mradi kupeleka umeme katika vitongoji 15 kwa kila jimbo Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenye majimbo 15 ya Mkoa wa Kigoma ambao utawezesha jumla ya vitongoji 120 kupata umeme wa uhakika utakaowarahisishia kufanya shughuli za kiuchumi […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM IMEBAINIKA kuwa idadi ya wanyamapori Duniani imepungua kwa asilimia 73 katika kipindi cha miaka 50 iliyopita Afrika, kwa .upande wake, imeshuhudia upungufu wa asilimia 76, huku sababu kuu zikiwa ni uharibifu wa makazi, uchafuzi wa hali ya hewa utokanao na viwanda, mabadiliko ya matumizi ya ardhi, ukataji miti uliokithiri, […]
Na Happiness Shayo ARUSHA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameielekeza menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kubuni mikakati ya kuongeza mapato yatokanayo na Utalii ikiwa ni maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16,2024 alipokuwa akizungumza […]
Na Happiness Sam KILIMANJARO Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete, jana Oktoba 15, 2024 amepokea Mwenge wa Uhuru na kuukabidhi kwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa ajili ya kuupandisha katika kilele cha mlima Kilimanjaro, ikiwa ni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema hakuna vituo vya aina hiyo katika andikishaji wapiga kura, aweka wazi uandikishaji unafanyika kwenye vituo 80,812 nchini -MWANZA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu uwepo wa vituo bandia vya kuandikisha wapigakura wa Serikali za Mitaa […]