Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KLABU ya Yanga imeendelea kuwa mbabe kwa mpinzani wake mkubwa Simba Sc mara baada ya leo kupokea kichapo cha bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake, tumeshuhudia kandanda safi kutoka kwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wanariadha wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi waliofanya vyema katika mashindano ya Mbio ndefu na fupi katika michuano ya mbio maarufu NAGAI City Marathon 2024 wamepongezwa kwa kuibuka washindi wa kwanza na kupewa medali za dhahabu. Pongezi hizo zimetolewa na Afisa Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Taasisi ya World Travel Awards imetangaza hifadhi mbili za Tanzania kuwa washindi katika vipengele vya hifadhi na kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024. Hifadhi ya Taifa Serengeti imetangazwa kuwa mshindi katika kipengele cha Hifadhi Bora Barani Afrika (“Africa’s Leading National Park 2024”) wakati Mlima Kilimanjaro ikitangazwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kurejeshwa kwa Eneo la takribani Mita za Mraba 7503 na Shilingi Milioni 500 zilizokuwa mali ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Linalopatikana Jijini Arusha. Kwaniaba ya Mhe. Rais Samia […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Zaidi ya bilioni 13 zaboresha miundombinu vijijini Ludewa,Njombe Bunge wa Ludewa (CCM) Mhe. Joseph Kamonga ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutenga asilimia thelathini ya fedha kwaajili ya kuviwezesha vikundi kazi vya kijamii ambavyo vinajishughulisha na matengenezo madogo madogo ya miundombinu wilayani hapo. Pongezi hizo amezitoa mbele […]
Na MADINA MOHAMMED WAMACHINGA Serikali inatarajia kutumia Shilingi Bilioni 600 kwa ajili ya kugharamia Miradi mitatu itakayoboresha huduma ya usafirishaji kwa njia ya maji mkoani Kigoma na maeneo yanayozunguka. Akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa pili wa kimataifa wa lojistiki na Uchukuzi,Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa […]