Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 35)
FEATURE
on Oct 23, 2024
115 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Inatekeleza mkakati wa Nishati safi ya kupikia kwa vtendo, mitungi ya gesi (LPG) 452,445ย  kusambazwa kwa bi ya ruzuku -DAR ES SALAAM KATIKA kuhakikisha asilimia 80 ya Wananchi wanatumia Nishati Safi za Kupikia ifikapo Mwaka 2034, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea na jitihada mbalimbali za uelimishaji, uhamasishaji na usambazaji wa […]

FEATURE
on Oct 22, 2024
156 views 10 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katika Kipindi cha Miezi mitatu ya robo mwaka wa fedha 2024/2025 bandari ya Tanga ilipangiwa kukusanya mapato kiasi cha Shilingi bilioni 11 ambapo mpaka mwezi September wamevuka lengo na kukusanya kiasi cha Shilingi bilioni 18.6. Mafanikio ya Maboresho ya bandari ya Tanga yanaendelea kuonekana kutokana na ongezeko la Meli zinazoitumia bandari […]

FEATURE
on Oct 22, 2024
108 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tanganyika, Katavi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa vivuko na daraja la Mto Mnyamasi lenye urefu wa mita 20 pamoja na kufungua barabara ya Kambanga-Ifinsi yenye urefu wa Kilomita 37 inayounganisha vijiji vya Ifinsi, Kambanga na Bugwe vilivyopo kata ya Tongwe Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika […]

FEATURE
on Oct 22, 2024
110 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisi wa kazi* Kapinga asema Serikali itaendelea kuboresha upatikanaji wa Nishati safi ya Kupikia* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake katika kuiimarisha Sekta ya Nishati nchini. Pongezi hizo zimetolewa […]

FEATURE
on Oct 21, 2024
150 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu Mwezi mmoja baada ya ziara ya Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini China, Tanzania imefanikiwa kusaini Hati ya Ushirikiano ya uwekezaji na mafunzo na Kampuni ya Huduma za Mawasiliano ya Kielekroniki ya China (CECIS LTD) utakaowezesha kampuni zaidi ya 600 za vifaa vya Kompyuta kuwekeza nchini. Makubaliano hayo […]

FEATURE
on Oct 21, 2024
203 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Nchengerwa amesema wananchi waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 wamekuwa wengi zaidi kuliko wale wa uchaguzi uliopita uliofanyika mwaka 2019. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani […]

FEATURE
on Oct 21, 2024
136 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lahusisha nchi 21 na Washiriki 800* Kuangazia Sera, fursa za masoko na uwekezaji* Kamishna Luoga asema lengo ni kuendeleza nishati ya Jotoardhi nchini* UNEP yaipongeza Tanzania kwa maandalizi* Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) limeanza kwa mafanikio jijini Dar es Salaam ambapo Wataalam takriban 800 kutoka 21 duniani wameshiriki. Hayo […]

FEATURE
on Oct 21, 2024
112 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktobaย  16, 2024 amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maziko ya Mzee Jeremiah Kusiluka ambaye ni Baba mzazi wa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka yaliyofanyika katika kijiji cha Madihani, Makete mkoani Njombe. Akitoa salamu za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu amesemaย  […]