Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 34)
FEATURE
on Oct 25, 2024
106 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA Imeelezwa kuwa ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), inayoonesha kuwa uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia sita mwaka 2025, itasaidia kuiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kuongeza kiwango cha uwekezaji na hivyo kuongeza ajira na kupunguza umasikini. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dodoma Oktoba […]

FEATURE
on Oct 25, 2024
124 views 12 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MIAKA mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani,  Tume ya Madini imeainisha mafanikio yake ikiwemo ongezeko la  ukusanyaji wa maduhuli, kuongezeka kwa usimamizi kwenye biashara ya madini na ukaguzi wa migodi na mazingira sambamba na ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini. Akizungumza  na […]

FEATURE
on Oct 24, 2024
151 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Oktoba 24, 2024 ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya awali ya ujenzi wa zaidi ya kilomita 168 za barabara za Mkoa wa Dar es Salaam, zitakazojengwa na mradi wa DMDP awamu […]

FEATURE
on Oct 24, 2024
76 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA NI YA UJENZI NA UENDESHAJI WA VITUO VIDOGO VYA BIDHAA ZA MAFUTA VIJIJINI* MKOPO WA HADI SHILINGI MILIONI 133 KUTOLEWA* Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inahamasisha wananchi kuchangamkia fursa ya mikopo kwa ajili ya Kuwezesha ujenzi na Uendeshaji wa vituo vidogo vya bidhaa za mafuta ya Petroli na Dizeli […]

FEATURE
on Oct 24, 2024
105 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire – Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa juzi Oktoba 22, 2024 Mkoani […]

FEATURE
on Oct 24, 2024
144 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Oct 23, 2024
117 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aeleza umuhimu wa Sekta Binafsi kuhusishwa uendelezaji Jotoardhi* Akaribisha uwekezaji katika vyanzo vya Jotoardhi Tanzania* Afungua Kongamano la Jotoardhi Afrka ( ARGeo-C10)* Kapinga amshukuru Dkt.Samia kwa Dira inayoiimarisha Sekta ya Nishati* Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amesema Bara la Afrika linapaswa kuunganisha nguvu na kushirikiana ili kuweza kuendeleza […]

FEATURE
on Oct 23, 2024
77 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA AELEKEZA UTOAJI RUZUKU KWENYE MAJIKO YA UMEME Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amepongeza jitihada za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wananchi wanafikishiwa Nishati Safi ya Kupikia. Ametoa pongezi hizo Oktoba 23, 2024 Jijini Dar es Salaam alipotembelea Banda la REA […]

FEATURE
on Oct 23, 2024
90 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila usiku wa kuamkia leo Oktoba 23,2024 amefanya ziara Wilaya ya Ilala na Kukagua maendeleo ya miradi mbalimbali inayotekelezwa saa 24 pia ametembelea na kufanya mazungumzo na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania na Jangwani Jijini Dar es Salaam. Ziara ya RC […]

FEATURE
on Oct 23, 2024
74 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wateja 3,465 watanufaika na Mradi huo Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, leo jioni, tarehe 22 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, mkandarasi, kampuni ya CCC (Beijing) Industrial and Commercial Ltd; kampuni kutoka China, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba (7) ya mkoa wa […]