Na Happiness Shayo MAFINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewahimiza wawekezaji wa mazao ya misitu kutoka nchini China kuanzisha viwanda kwa lengo la kuuza bidhaa zilizokamilika kwa ajili ya masoko ya nje ya nchi. Ameyasema hayo leo Oktoba 27,2024 wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Wawekezaji wa Mazao ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MPWAPWA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene (Mb) amesema maisha ya ndoa ni mazuri huku akimtaka Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mpwapwa Ndg.Mgutho Thabit Mathew aliyefunga pingu ya maisha na Mke wake Bi. Herieth Kileo kuishi maisha yenye upendo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MOROGORO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe. Kapt. George Mkuchika, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya mambo makubwa kwa maendeleo ya Watanzania kwa kuboresha sekta mbalimbali zikiwemo za elimu, afya na barabara. Mkuchika amesema hayo Oktoba 26, […]
Na Happiness Shayo IRINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa kituo cha utalii cha Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na kituo cha utafiti cha Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) inayotekelezwa chini ya mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa mapambano dhidi ya rushwa si jukumu la TAKUKURU pekee bali kila Mtanzania anapaswa kushiriki kikamilifu kusimamia maadili na kupinga vitendo vya rushwa. Amesema kuwa rushwa inaweza kusababisha kutofikiwa kwa jukumu la Serikali la kuleta ustawi wa wananchi linalotamkwa katika Ibara ya 8(1)[b] ya Katiba ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ARGeo-C10 itasaidia Afrika kufikia suluhisho la upatikanaji Nishati Safi* Awaita Washirika wa Maendeleo kuendeleza Jotoardhi Tanzania* Dkt.Mataragio asema Tanzania imetumia ARGeo-C10 kutangaza hazina ya Jotoardhi* Shirikisho la Jotoardhi Afrika (AGA) lasema ni Kongamano la aina yake* Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Shaibu Kaduara […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea na kuzungumza na Mzee Yusuf Makamba leo, tarehe 25 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam. Balozi Nchimbi alifika nyumbani kwa Mzee Makamba, eneo la Wazo Hill, kumfariji kufuatia msiba wa mtoto wake, Bi. Sakida Rajab Yusuf Makamba, aliyefariki […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema maeneo yenye vyanzo vya Nishati Jadidifu yameshatambuliwa* Mikoa 16 yatajwa kuwa na rasilimali ya Jotoardhi* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali itaendelea kuwashirikisha wawekezaji katika maeneo yenye nishati jadidifu ili kuyaendeleza na hivyo kuwezesha azma ya nchi kuwa na umeme unaotokana na vyanzo mchanganyiko. […]
Na Beatus Maganja WAMACHINGA Yapewa kongole Kwa Kasi ya ukusanyaji maduhuli, Utatuzi wa migogoro ya mipaka Dodoma Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA leo Oktoba 24, 2024 katika ukumbi namba 44 jengo dogo la utawala bungeni Dodoma imewasilisha taarifa ya utendaji wake ya mwaka 2023/24 kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wakuu wa Polisi Afrika Mashariki Wakutana Dar es Salaam Kupanga Mikakati ya Kukabiliana na Uhalifu wa Kikanda Wakuu wa Polisi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam Oktoba 25 ,2024 kwa mkutano wa 8, wakilenga kujadili changamoto za amani na usalama katika […]