Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 32)
FEATURE
on Oct 29, 2024
94 views 59 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza dhamira ya Serikali ni kupeleka umeme maeneo yote* Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la  ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa kilometa 1. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2024 bungeni jijini Dodoma  wakati akijibu […]

FEATURE
on Oct 29, 2024
71 views 8 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ili kuhakikisha Mamlaka  ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inafanya kazi zake kwa ufanisi, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu imekabidhi  rada mbili za hali ya hewa zilizopo Mwanza na Dar es salaam. Rada hizo awali zilikuwa zinafanyiwa uboreshaji na kampuni ya Enterprises Electronic Corporation (EEC) […]

FEATURE
on Oct 29, 2024
64 views 22 secs

Na Mwandishi Wetu Ni ya upelekaji umeme kwenye vijiji, vitongoji na Nishati Jadidifu* Yawa kinara matokeo ya tathmini ya utendaji kazi kwa Taasisi za Wizara ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kufanya vizuri katika utekelezaji wa majukumu yake ikiwemo usambazaji umeme […]

FEATURE
on Oct 29, 2024
100 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Rais Samia anataka Ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi* Asisitiza utendaji kazi umuangalie Mtanzania wa kawaida anayeitegemea Serikali kubadili maisha* Aagiza kila Taasisi kuwa na Vigezo vya Upimaji Utendaji Kazi* Ataka Watendaji waache alama ya kazi, si kulinda vyeo* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto […]

FEATURE
on Oct 28, 2024
134 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wizara ya Nishati yawataka wadau wakiwamo Puma Energy kushirikiana na Serikali, kuitafsiri kwa vitendo azma ya Serikali Dkt. Mataragio atoa mwelekeo mpya ufanikishaji wa matimizi ya nishati safi ya kupikia nchini -DAR ES SALAAM WIZARA ya Nishati imetoa rai kwa mashirika na wadau mbalimbali nchini wakiwemo Puma Energy Tanzania kuendelea kushirikiana […]

FEATURE
on Oct 28, 2024
79 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mchengerwa aeleza ni idadi kubwa tofati na Uchaguzi wa mwaka 2019, awataka Watanzania kujitokeza kuhakiki majina Mkoa wa Pwani kinara uandikisha kwa asilimia 112.61 -DAR ES SALAAM WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Nchengerwa amesema wananchi waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa […]

FEATURE
on Oct 28, 2024
88 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aeleza mkakati wa kuongeza wigo ukusanyaj nchini, amshukuru Rais Dkt. Samia kwa kumuamini DAR ES SALAAM KAMISHNA mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda ameelezzea siku 100 za utumishi wake katika nafasi hiyo huku akisisitiza kuwa mamlaka hiyo inaamini katika kuwa na ushirikiano bora na uhusiano imara na walipa […]

FEATURE
on Oct 28, 2024
123 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM BENKI ya NMB Plc imesisitiza kuendelea kutekeleza dhamira yake ya kuyawezesha makampuni kutoka Korea Kusini yenye nia ya kuwekeza hapa nchini, ikiwa ni sehemu ya jitihada zake za kuchangia ukuaji wa uchumi endelevu. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Miamala Benki ya NMB Linda Teggisa wakati […]

FEATURE
on Oct 28, 2024
106 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mikataba yasainiwa rasmi yenye thamani ya Shilingi trilioni 1.18 Waziri Mchengerwa amshukuru Rais Dkt Samia kwa kuweka historia ya miradi mikubwa DAR ES SALAAM HISTORIA imeandikwa katika Jiji la Dar es Salaam, baada ya  utiaji saini mikataba nane ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya Halmashauri tano za mkoa huo, kupitia Mradi […]