Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 30)
FEATURE
on Nov 2, 2024
94 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MAREKANI RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya Serikali katika sekta ya kilimo. Akiwa nchini Marekani jana aliposhiriki kwenye mjadala kuhusu kilimo barani Afrika katika mji wa Des Moines, Iowa, Rais Samia alisisitiza kuwa Serikali […]

FEATURE
on Nov 2, 2024
95 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM WIZARA ya Nishati imetoa rai kwa mashirika na wadau mbalimbali nchini wakiwemo Puma Energy Tanzania kuendelea kushirikiana kufanikisha azma ya Serikali ya kuhakikisha inatekeleza ipasavyo mkakati wa taifa wa nishati safi ya kupikia unaolenga asilimia 80 ya wananchi kutumia gesi ifikapo mwaka 2034 . Akizungumza katika hafla ya […]

FEATURE
on Nov 2, 2024
106 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Nov 2, 2024
67 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Nov 1, 2024
62 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu  wa wilaya ya ubungo,Mh Hassan bomboko ameipongeza Taasisi ya Yemco kwa kusaidia vikundi vya vikoba vga akina mama mbalimbali nchini kufikia Malengo yao kiuchumi na KIJAMII. Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa mwaka 8 wa Taasisi hiyo, uliofanyika Leo Oktoba 31 2024 jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na washiriki zaidi […]

FEATURE
on Nov 1, 2024
100 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MAREKANI RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya Serikali katika sekta ya kilimo. Akiwa nchini Marekani jana aliposhiriki kwenye mjadala kuhusu kilimo barani Afrika katika mji wa Des Moines, Iowa, Rais Samia alisisitiza kuwa Serikali […]

FEATURE
on Nov 1, 2024
63 views 8 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa Jua Ahimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitali Ataja mageuzi makubwa yaliyofanywa katika sekta ya afya Alipongeza Kanisa Katoliki, awashukuru wafadhili wa miradi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi […]

FEATURE
on Oct 31, 2024
94 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Vijiji 32 vyenye wateja zaidi ya 8,000 vimeunganishiwa umeme REA imeuwezesha mradi wa Mwenga Hydro shilingi bilioni 16.6 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha umeme wa uhakika na kutoa ajira kupitia miradi hiyo. Hayo yamebainishwa leo […]

FEATURE
on Oct 31, 2024
281 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mvua kwa msimu wa Novemba 2024 hadi Aprili 2025, ikisisitiza umuhimu wa maandalizi katika sekta mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa Leo Kamu Mkurugenzi wa mamlaka hiyo Ladislaus Chang’a alisema   mvua za msimu zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya pili na ya […]

FEATURE
on Oct 31, 2024
58 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuhusisha transfoma za kVA50, 100 na 200* Vitongoji ambavyo havijapata umeme kufikiwa* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia kuanza mradi mpya wa upelekaji umeme  vitongojini utakaohusisha ujenzi wa njia za kati na ndogo za kusafirisha umeme. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 31, 2024 bungeni jijini Dodoma  […]