Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amewataka wanachama wa CCM kutobweteka atika Uchagzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Kauli hiyo aliitoa jana Wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam katika siku ya kwanza ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ZANZIBAR MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA), imeendelea kutikisa wimbi la Makusanyo kwa kuvuka lengo la ukusanyaji mapato katika kipindi cha Oktoba, mwaka huuย kwa kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 76.528 kati ya makisio ya kukusanya Shilingi bilioni 74.549 Akizungumza na waandishi wa habari jana Kaimu Kamishna Mkuu wa ZRA Said Ali […]
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM HUDUMA usafirishaji wa mizigo na vipeto kimataifa kupitia Shirika la Posta Tanzania inaongezeka licha ya kushuka kwa kiasi kikubwa kati ya mwaka 2019 na 2021, kwa mujibu wa uchambuzi wa taarifa ya hali ya mawasiliano kufikia Septemba mwaka huu. Taarifa ya robo mwaka ya Julai hadi Septemba 2024 iliyotolewa […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAKALA wa Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Shirika la Miliki Ubunifu โDuniani World Interllectual Property Organizationโ (WIPO), Shirika la Miliki Buinfu Kanda ya Afrika (ARIPO)naย Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanatoa mafunzo kwa wakufunzi watakaokuwa na jukumu la kufundisha wadau mbalimbali kuhusu umuhimu na faida […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu Mkuu wa Convention for the Renewal of the Comoros (CRC), chama tawala nchini Comoro. Mazungumzo hayo ya pande mbili, yaliyohusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya vyama hivyo, serikali na nchi hizo […]
Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam Umoja wa Waigizaji Mkoa wa Dar es Salaam wapongezwa kwa kubeba maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutangaza utalii. Maneno haya yamesemwa Novemba 2, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule katika tamasha la “Shtuka, boresha afya ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Shilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi Makete – Njombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipa kipaumbele sekta binafsi kutekeleza miradi ya nishati ya umeme kwa kuwekeza katika sekta hiyo na kuwezesha fedha ili […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MOROGORO WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Gairo Mkoa wa Morogoro, imetekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan la kujenga daraja la mawe la Lebenya lenye urefu wa mita 45 linalounganisha Wilaya za Kilindi, Gairo na Kilosa mkoani Morogoro kutoka […]