Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kunufaisha kaya 2,970 kutoka kwenye vitongoji 90 ndaniya wilaya tatu, RC Macha asema umeme ni kipaumbele cha Rais Samia -SHINYANGA SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa Shilingi bilioni 11.18 wa kusambaza umeme katika vitongoji 90 utakaonufaisha kaya 2,970 mkoani Shinyanga. Hayo yalisemwa jana na Msimamizi wa Miradi […]
Na Catherine Sungura KIGOMA WAMACHINGA Bajeti ya dharura nayo yaongezezeka Ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bajeti ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara za TARURA imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 275 hadi Shilingi Bilioni 710. Hayo yameelezwa mwishoni […]
Donald Trump ameshinda uchaguzi wa urais nchini Marekani 2024. Trump ameibuka mshindi baada ya kumshinda mpinzani wake kutoka chama cha Democrats bi Kamala Harris. Mgombea huyo wa Republican alipata ushindi mnono dhidi ya Kamala Harris, unaomruhusu kurejea katika kiti cha urais wa Marekani. Trump, ambaye alishinda uchaguzi wa 2016 na kupoteza ule wa 2020, alichukua […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA: Bei za reja reja za mafuta kwa mwezi Novemba 2024 zimeendelea kushuka. Bei ya petroli kwa Dar es Salaam na Tangaย imeshuka kwa asilimia 2.26 ambayo ni sawa na shilingi 68 kwa lita, huku Mtwara ikiwa imepungua kwa asilimia 2.16, ikilinganishwa na bei za mafuta za mwezi Oktoba 2024. Aidha, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga atajaย msamaha wa kodi asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia iliyotolewa 2023/2024 Aeleza Serikali ilivyojidhatiti kupeleka umeme kwenye maeneo yote nchini* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kupitia Bajeti Kuu Serikali ya mwaka 2023/24 Serikali ilitoa msamaha wa kodi ya ushuru wa forodha (customs duty) […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGAt ooh Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based Road Contract) uliosainiwa rasmi tarehe 07 Septemba 2018. Mradi huu ni wa muda mrefu (Long term contract) […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Mapato Nchini Tanzania( TRA) kwa kushirikiana na Shirika la viwango Zanzibar (SBZ) imesaini hati za makubaliano katika kwenda kurahisisha ufanyaji waย biashara kwa pamoja. Hayo yamesemwa Jijini Dar e salaam na Kamishina Mkuu wa mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema kuwa TRA inasimamia shughuli za forodha […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Imeelezwa kuwa, miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 ipo mbioni kuanza katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala waย Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy wakati wa kikao cha Menejimenti ya Wizara ya […]
Na Happiness Shayo- Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Makamanda wa Kanda na Wahifadhi Wakuu wa Mashamba na Wilaya wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kutumia Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuboresha utendaji kazi na kuchagiza utawala bora. Ameyasema hayo katika mkutano wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wadau takriban 400 kukutana Arusha* Kuhusisha majadiliano, kubadilishana uzoefu, fursa za uwekezaji* Dkt.Doto Biteko kuwa mgeni rasmi* Ufanisi wa Tanzania Matumizi Bora ya Nishati wapelekea EU kuongeza muda wa ufadhili* Imeelezwa kuwa, Tanzania kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na Ubalozi […]