Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ujenzi Uwanja wa Ndege Msalato Wafikia 75%, Kukamika kwake Kutachochea Maendeleo Ampongeza Mhe. Mavunde Kwa Utekelezaji Mzuri wa Ilani ya CCM Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA), imewashauri Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kuwajengea waandishi wao uweledi wa kuchagua tahsusi maalum ili kuripoti kitaalamu hususan katika masuala ya mapato. Ushauri huo umetolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Uhusiano na Huduma kwa Walipakodi kutoka ZRA, Makame […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM UTANGAZAJI Tanzania umeendelea kuimarika na mawimbi ya televisheni kijitali kwa mfumo wa ardhini (DTT) sasa yanafikia asilimia 58 ya watu, taarifa ya hali ya mawasiliano nchini inaonesha. Taarifa ya robo mwaka ya Julai hadi Septemba iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inasema mawimbi ya yanafika asilimia 33 […]
Na Happiness Shayo-Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kuendeleza utu, amani na ubinadamu walioupigania ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Ametoa kauli hiyo leo alipokuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa waliopigania Vita ya Kwanza ya Dunia iliyofanyika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais Samia apeleka neema Tabora -TABORA WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 19 wa kusambaza umeme katika vitongoji 180 utakaonufaisha kaya 5,940 mkoani Tabora. Hayo yalisemwa jana na Msimamizi wa Miradi ya REA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Robert Dulle mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni wakati akitoa mchango Bungeni kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo* Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa* Aeleza usambazaji umeme vijijini ulivyofanyika kwa mafanikio; Vijiji 78 Tu vyasalia* Aeleza jitihada zilizofanyika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia; Utoaji wa Leseni na Duru ya Tano ya kunadi vitalu* […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Ijumaa 8 Novemba 2024 , Tanzania imefanya mkutano muhimu wa Afya Moja jijini Arusha, ukiwaleta pamoja maafisa wa serikali, washirika wa kimataifa, mashirika ya kiraia, na wataalam ili kuendeleza mbinu ya Afya Moja kama mkakati muhimu kwa usalama wa afya duniani na maendeleo endelevu ya binadamu. Tukio hilo la hadhi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeleta manufaa makubwa ikiwemo kuiweka Tanzania katika sura nzuri kimataifa na kuimarisha ushirikiano. Amesema katika kipindi hiki cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia, maendeleo ya kasi yameshuhudhiwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu na kuheshimiana katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Amesisitiza kuwa viongozi na wanachama wa CCM watakaopata fursa […]